Graphic designer anisaidie

Graphic designer anisaidie

Ozzie

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2007
Posts
3,217
Reaction score
1,269
Ninatafuta graphic designer wa kujitegemea ambaye anaweza ku design signage, brochures(A4), posters (A2), Fliers (A5), na T-shirt. Nitumie ujumbe kuhusu gharama zako.
 
Mh mkuu kukupa bei ni ngumu ungeweka no. yako tungekutwangia au nipigie kwa no hii. 0754827198 au 0716099463 tuongee zaidi
 
Mh mkuu kukupa bei ni ngumu ungeweka no. yako tungekutwangia au nipigie kwa no hii. 0754827198 au 0716099463 tuongee zaidi

True bei huwa haziwekwi ki hivyo, utawekaje bei bila hata kujua namna kazi itakavyokuwa, bei inakuwa determined na vitu vingi, kwa hiyo you are right.
 
Back
Top Bottom