Msaada wa kiufundi radio ya Sony

Kiresua

JF-Expert Member
May 13, 2009
1,184
259
Ni muda sasa naamini hapa Jukwaani ni kisima na msaada tosha kwa mambo mbalimbali. Wadau, nilinunua redio ya SONY model no. HCD-GNZ55D miaka 2 iliyopita. Redio hi imepata tatizo la power. Umeme hauingii. Nilipeleka kwa wakala wa sony pale Kipata st. Kwa kuwa warant imeshapita niliomba kufanyiwa ispection then service. Baada ya muda wakanipigia sim kuniambia kuwa inahitaji replacement ya POWER BORD na gharama zake. Yani garama yake ni 68% ya original value kubadilisha power bord. Nikaona haina afya kiuchumi, nikabeba redio yangu. Sasa bandugu nilihisi naibiwa na wale wahindi, Je kuna msaada wowote nitakavyoweza kuipata hiyo bord niendelee na kupata mziki ndani kwangu? Msaada jamani wana Jf.
 
Kiukweli nimejarib kwa mafundi wa mitaani, nikagonga mwamba. Kama kuna anajua nitakakoponea kupata board ingine anijuze tafadhali.
 
Huko ulikoenda wala siko mafundi na mawakala wa sony wako mikocheni sio kipata st ndio maana walishindwa kukutengenezea huko mikocheni spare ikikosekana huwa wanaagiza direct kutoka Japan.
 
Huko ulikoenda wala siko mafundi na mawakala wa sony wako mikocheni sio kipata st ndio maana walishindwa kukutengenezea huko mikocheni spare ikikosekana huwa wanaagiza direct kutoka Japan.

Omar, ofs za sony ziko 2, mikocheni na kipata st. Pia sio kwamb walishindwa ila niliambiwa ni kureplace power board kwa gharama kubwa sana. Kost yake ni 68% ya thamani yake sio mchezo. Sas cbora mtu ununue nyingine kama repair ni kubwa kihivo.
 
Kiukweli nimejarib kwa mafundi wa mitaani, nikagonga mwamba. Kama kuna anajua nitakakoponea kupata board ingine anijuze tafadhali.

na hapa uko kwa mafundi wa vile vile . jf ni electronic street. teh teh teh teh. kama unayo model number ya kifaa na ina jaribu kucheki ebay. amazon etc. lakini risk yake uwe na uhakika kabisa maana ukikosea ukaagiza kiti chenye tofauti kiodgo unafuu unatoafuta utapotea kabisa
 
Mtazamaji, nilisahau kuwa hapa ni mtaani pia, Kiruu! Asante kwa wazo la ebay. Lkn ebay hap bongo mh! Might be the leaning option, who knowz
 
Unajua kuchezea na digital multimeter? kama unajua basi
unaweza kutest tatizo hasa ni nini kabla ya kwenda kwa
mafundi.
 
Chamoto, nataka kubadilisha Power Board. Nimetembea haipatikani hi board, soni wameniambia ni sh 270,000 mtumee, sibora ninunue ingine. Nikipta mtu wa kunisaidia namna ya kupata board ingine ingekuwa murua
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom