Msaada;how to run win applications in linux

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
17,047
21,519
Salama wakuu? Tatizo lang ni moja tu,nahitaji kuinstall softwares za windows kwenye linux. Nilishauriwa nitumie ki2 inaitwa crossover au wine lakn naona hazikubali.
 
Sio software zote zinakubali kwenye Wine, so nakushauri Google "Running X on Linux " ujue kama kuna watu wamefanyikiwa kufanya.
 
maswali haya yanachekesha... kama umekimbia windows, si be a man and stick up 2 ur choice...
 
Ningependa kumjibu huyu jamaa anayejiita "redSilverDog" hilo sio jibu la kumpa mtu.wewe ukiwa umejitambulisha kuwa na ujuzi katika fani ya ICT nadhani inaonyesha kwa jinsi gani ulivyo na upeo haba.

Huyo jamaa inawezekana ana computer moja (PC au Laptop) lakini akiwa anataka kupiga ndege wawili kwa jiwe moja.

Technolojia inamrusu kufanya hivyo na yeye anaonekana kujituma kutaka kujua.

kwa tafsiri yangu naona wewe ni mtu wa kufuata mkumbo tu lakini hujiulizi kwanini hiki kiko hapa au kwanini hawa jamaa waliweka possibility ya kufanya hili

Pole sana Mr. redSilverDog Tafakari kabla ya kuandika.
 
haya bwana mjuzi wa yote.. :alien: i was just highlighting a point.. samahani kama umekuwa offended bwana mkubwa!
 
Inaonekana kama nia yako ni kumkatisha tamaa kwa lile analotaka kufanya.hiyo namana ya kumpa mtu ushauri.
 
Salama wakuu? Tatizo lang ni moja tu,nahitaji kuinstall softwares za windows kwenye linux. Nilishauriwa nitumie ki2 inaitwa crossover au wine lakn naona hazikubali.

Jaribu kufanya virtualization kwa ku run vmware server kwenye linux ambapo utaweza run windows op, na app zake zote.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom