wadau wa jamii forum.
ningependa kujua kama kuna mtu mwingine ambaye ana blackberry ambayo its under verizon, or at&t storm 2 9550 kama anaweza kupata any BIS service either through vodacom...
Kompyuta yangu inatumia windows 7. Wiki iliyopita iliniletea meseji inayosema WINDOWS 7 BUILD 7600. THIS COPY OF WINDOWS IS NOT GENUINE. Baada ya meseji hiyo kutokea, ghafla screen ilibadilisha...
Habari zenu wanaJF?
Naomba kupata video tutorial za jinsi ya kutumia Visual studio 2010 na NetBeans 7, effectively.. Kama una link au unazo mahala popote please naomba msaada wako..
Nataka...
Wana taaluma ya IT JF,
Wasaalam, nimeandaa tool moja kwenye excel kwa ajili ya matumizi ya kifedha, sasa nimecreate collum inayoonyesha kama utazidisha matumizi basi matokeo ni kuwa jibu litakuwa...
Salamu wakuu..ningependa kufahamu kama the new tiGO internet iko fast and reliable as they say it is because nikicheki the service wanayonipo on my phone naogopa kuinunua. I know wana advertise...
Dear friends,
I am hoping to find someone with some good local experience. I have some dear friends in Dar es Salaam near Kilwa Road and Mbagala Road who are trying to decide which wireless...
If the best you can do when you're caught between the moon and New York City is fall in love--as the treacly eighties pop song had itit seems safe to say that among the worst experiences you...
Mambo wadau.
ninazo line za tiGo ambazo unatumia Internet access ya buree(UNLIMITED 3.5G speed).
waweza unganisha Kwenye modem yoyote inayokubali line za GSM.
Kupata hizi line inatakiwa...
Kutokana na mgawo wa umeme uliotangazwa na hali halisi inavyoendelea, nalazimika kununua genereta kwa ajili ya biashara ya internet cafe na secretarial services niliyonayo Arusha.
Vifaa...
Jamani nataka kujenga kanyumba kangu ka room 4 ama 5 hivi.
Najaribu kutafuta ramani kwenye google lakini nashindwa kupata.
Naomba msaada jinsi ya kupata ramani za nyumba kwa kuzingatia...
Wataalamu wa haya mambo naombeni msaada wenu tafadhali. Nilikuwa nataka kufahamu kama kuna madhara yoyote kwa computer endapo utaiwekea operating system au window zaidi ya moja. Kwa mfano uweke...
The government has reiterated its stance to spread information and communication technology (ICT) in rural areas so that rural dwellers may access communication services at affordable rates...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.