Photoshoping

Photoshoping

Mtazamaji

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2008
Posts
5,937
Reaction score
1,445
wataalam wa photoshop.

Kuna image nataka nizichakachue ili header ya webpage nayotengeza iwe tofauti

Image yenyewe nayotaka kuchakachua ni hii hapa personal2.png

Hii ni image ya header kwenye template ya beez2 ya joomla. Nataka penye maneno "we are volunterrs" niweke maneno mengine

Pia nataka kwenye hii header niweke hii image ya ramani ya Tz upande wa kushoto images.jpeg

Nataka nichukue ramani tu bila hiyo/hizo backgrounds.( rangi nyeusi)

ukitembelea wanani utaona nachotaka kufanya.

So graphic and web desinger msaada. Nimesoma soma mambo ya cropping image naona kizunguzungu.May be lugha ya kigeni.teh teh teh
 
Ni majuzi tuu nimefanya hicho kitu cha kuchakachua
picha niliyoikopi mtandaoni na kuifanya header ya
page kwahiyo naelewa unachotaka kufanya.

Nilitaka kukupa maelezo marefu yakutumia magnetic lasso
tool lakini nimeona nikutafutie video ili uone jinsi
ya kufanya hivyo.

 
Last edited by a moderator:
Ni majuzi tuu nimefanya hicho kitu cha kuchakachua
picha niliyoikopi mtandaoni na kuifanya header ya
page kwahiyo naelewa unachotaka kufanya.

Nilitaka kukupa maelezo marefu yakutumia magnetic lasso
tool lakini nimeona nikutafutie video ili uone jinsi
ya kufanya hivyo.

Ok thanks hii lasso tol nilijaribu lakini nilipata wakati mgumu sababu image yenyewe haina shape ya kueleweweka. Sasa kwa mfanoo huu wa video nimegundua nini cha kufanya.
 
kubadilisha maneno ni rahisi as a,b,c kwa kutumia photoshop, tumia 'stamp' tool kufuta maneno yaliyoandikwa then unaweza andika yako.
Hiyo ramani ya Tanzania ni ngumu sana kuichakachua kupata unachokihitaji, kwasababu size ya ramani ni ndogo mno, nakushauri google image search ya ramani ya Tanzania, na upate large size ambayo ukiichakachua haitaharibika. ukishindwa ni PM nikupe email yangu ntakusaidia.
 
Back
Top Bottom