Tupeni updates za mkonga wa SEACOM, Internet Tanzania imeyumba

Tupeni updates za mkonga wa SEACOM, Internet Tanzania imeyumba

tototundu

Senior Member
Joined
Jul 29, 2009
Posts
198
Reaction score
40
Tokea jana providers wanaotumia seacom hasa hasa internet ya Airtel wako chali, almost hamna kitu, leo wamenitumia meseji kuwa link imesharekebishwa, lakini so far bado hakuna kitu.

Mlio karibu na jikoni, tupeni updates.
 
yaan wanaboa balaa,..google inachkua 5 mins kufunguka!
 
Hivi CCM hawana MaGamba kwenye Mkonga?

SeaCom = George Kahama/RA?
 
kuna optical cable imekatika huko Cairo!ndio mana kukawa hakuna huduma ya internet ila asubuhi ilisharudi kama saa 1 hivi!
 
kuna optical cable imekatika huko Cairo!ndio mana kukawa hakuna huduma ya internet ila asubuhi ilisharudi kama saa 1 hivi!

thanx 4 the info mkuu...hawa nao cjui watarudsha ln button ya thnx!..🙁
 
Nimefurahi walivyotujulisha.......kuliko kukaa kimya huku tatizo likiwepo
 
Back
Top Bottom