Jamani vipi kuhusu matumizi ya simu na kansa za ubongo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani vipi kuhusu matumizi ya simu na kansa za ubongo

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Kiresua, Apr 19, 2011.

 1. Kiresua

  Kiresua JF-Expert Member

  #1
  Apr 19, 2011
  Joined: May 13, 2009
  Messages: 1,202
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Kuna watu wanapita kwenye taasisi kutoa elimu kuhusu matumizi ya simu na madhara ya kansa. Jamani kuna mwenye ujuzi na hili, je kuna watu wanafahamu hi move? Jamaa wameacha na za sim Victo Lema 0756 459359. Sasa na huyu naye anasimu. Jujuzane tafadhali. Nawasilishisha
   
 2. m

  masssaiboi JF-Expert Member

  #2
  Apr 19, 2011
  Joined: Feb 10, 2009
  Messages: 637
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 33
  Wanataka nini??
   
 3. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #3
  Apr 19, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  mi mwenyewe sijamuelewa.
   
 4. Zasasule

  Zasasule JF-Expert Member

  #4
  Apr 19, 2011
  Joined: Aug 12, 2009
  Messages: 1,009
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Kila kizuri kina ubaya wake kinapozidi kiwango!!!
  so not bad if we see the effects
   
 5. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #5
  Apr 19, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Kwa ujumla utafiti wa sayansi unaonyesha hakuna uhusiano kati ya matumizi ya simu na cancer au madhara yoyote ya kiafya.

  Mobile phone radiation and health - Wikipedia, the free encyclopedia
   
 6. Kiresua

  Kiresua JF-Expert Member

  #6
  Apr 20, 2011
  Joined: May 13, 2009
  Messages: 1,202
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  supai siye! Wanattoa elimu ju ya matumizi ya simu, na jinsi zilivyo na madhara kiafaya, hasa kusbsh kansa. Naambiwa wanarefe pia tafiti mbalimbali za who. Najua sim zina madhara ila si kwa exageration wanazoelezea
   
 7. Mayasa

  Mayasa JF-Expert Member

  #7
  Apr 20, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 587
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Lakini hizi hizo simu bado na wenyewe wanazitumia :disapointed::disapointed:
   
 8. Loyal_Merchant

  Loyal_Merchant JF-Expert Member

  #8
  Apr 20, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 589
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  yap, cm znaweza cause cancer. Hii inakuja tokana na electromagnetic waves(emw) inayoemit. Hizi emw zinatabia ya kugenerate heat inapopita ktk matter iliyo na thickness kubwa kuliko wavelength yake. Ndo maana unaweza ona mtu anapata joto masikioni anapoongea na cm kwa muda mrefu. Ni hii princpo inatumika ktk microwave ovens, Na pia ni hili joto ndo linalopelekea kansa kwani linaweza disturb ukuaji wa cells za mwili. Bt ol in ol inatake long time kwa kansa kutokea na pengine unaweza usiione mpaka unakufa.
   
 9. Chamoto

  Chamoto JF-Expert Member

  #9
  Apr 20, 2011
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 2,078
  Likes Received: 1,115
  Trophy Points: 280
  Ni kweli kabisa mawimbi (EMW ) ya simu zinaweza kuleta matatizo ya kansa, hii ni kwasababu antenna ya simu ya mkononi huwa ina vuta mawimbi kwa nguvu nyingi sana. Tofauti na vifaa vingine vinavyopokea na kutoa mawimbi, simu ya mkononi inakua karibu sana na mwili (ubongo), kwahiyo inaweza kuleta madhara kwenye mfumo wa ufahamu na mifumo mingine. Inashauriwa kuiweka simu mbali na mwili wako pale ambapo huitumii, kuna watu wanatabia ya kulala na simu zao pembeni, hii ni hatari kwa afya zao.
   
 10. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #10
  Apr 21, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Tuwekee ushahidi wa kitaalamu MKUU.
   
 11. Chamoto

  Chamoto JF-Expert Member

  #11
  Apr 22, 2011
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 2,078
  Likes Received: 1,115
  Trophy Points: 280
  Kunakitu kinaitwa SAR (Specific Absorption Rate), hiki ni kiasi cha nishati ya radio frequency (RF) kinachoingia kwenye tishu (mwili) wa mtumiaji wa simu ya mkononi.

  katika elecromagnetic specrum (EMS), mwisho kabisa kwenye band ya RF, upenyaji wa mawimbi (SAR) ni kubwa. Tatizo ni kwamba mara nyingi simu ya mkononi hutumika ndani au pale ambapo mawasiliano siyo mazuri. Sasa simu ikihisi mawasiliano mabovu hutumia nguvu (nishati) nyingi kuvuta/kukuza mawimbi na hapo ndipo kuna uwezekano wa kuchoma tishu za mwili (ambazo zipo karibu na antena ya simu) taratibu katika kipindi cha muda mrefu. kumbuka hizi RF ndizo zinazotumika kupasha joto vyakula kwenye microwave oven. Kama tishu hizi (kwenye ubongo) zitapokea mawimbi haya yenye nguvu kwa muda mrefu zinaweza kusababisha kansa.

  Sijui kama nimeeleweka Globu.
   
 12. MIUNDOMBINU

  MIUNDOMBINU JF-Expert Member

  #12
  Apr 22, 2011
  Joined: Apr 14, 2010
  Messages: 452
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  mkuu unataka kujua madhara sio?. Basi soma bonyeza hapa!!!!!!!!!!!.
   

  Attached Files:

Loading...