Jamani Daughter mbona unakuwa kachoyo hivyo tena? Mmh, au hujasoma ile "Caring is Sharing"?........so vizuri hivo....
Anyway, wataalamu watakuja ila kama utataka wasitumie tu chip yako labda kwa ku-save bundle unaweza kuweka lock ya password kwenye line yako (nadhani hii inawezekana kwa kutumia handset) na hakuna mtu anaeweza kuitumia mpaka uweke hiyo pass-code