habari wana jukwaa faida(jf). Naomba kama kuna member mwenye PROPOSAL WRITING SOFTWARE anisaidie. au anielekeze sehemu ninapoweza kuipata. weekend njema.
ni hp pavilion Laptop, ukipress power button ili kuswitch on, led inayoindicate status ya laptop kama either ipo ktk sleep mode inablink continuously with no any display of any character ktk...
Kuna laptop ya rafik yangu m1 aina ya toshiba aliniletea nimsaidie kuichek kwan ilikuwa haiwaki kabisa. Nmebahatika kutrace tatizo na nikagundua ni power adapter ndio tatizo. Lakini nilipoiwasha...
Kuna laptop ya rafik yangu m1 kaniletea nimsaidie kuichek kwan ilikuwa haiwaki kabisa. Nmebahatika kutrace tatizo na nikagundua ni power adapter ndio tatizo. Lakini nilipoiwasha nikaja gundua...
By now everyone has heard about LinkedIns spectacular IPO this week, quite possibly the most significant public offering by a Web business since Google. Other Internet companies such as Groupon...
Samahani wadau,nimenunua modem ya vodacom lakini naona ni kama wame nifanyia uhuni maana kwenye windows inafanya kazi vizuri ila kwenye linux haifanyi kazi kabisaaaaa!
Naomba mwenye kuweza...
Nimenunua dvd ya imation +R DL 8.5 GB na rafiki yangu kaniwekea data humo lakini alipojaribu kuicheza kwake inafunguka lakini haionyeshi kitu, na nimeichukua na mimi nimejaribu kuicheza kwenye DVD...
Wadau kuna mdogo wangu anaendesha shughuli za kukodisha music katika harusi, disco, mikutano nk, katika kukabiliana na washindani wake ilibidi tutafute pc ili kuboresha na kuvutia zaidi wateja...
USB MINI Fridge China Wholesale - Everbuying.com
This USB Fridge is the only way to keep your drink cold while you are at your computer and it looks cool in any desktop.
With this mini fridge at...
Samahani wadau kuna swala nashidwa kujua pale unapompigia mtu simu afu sauti yake inatoka ikiskika kama ya mzee(kiumri) hivi ni tatizo la simu au network?
Samahani wadau kuna swala nashidwa kujua pale unapompigia mtu simu afu sauti yake inatoka ikiskika kama ya mzee(kiumri) hivi ni tatizo la simu,network au kitu gani?
Habari?
Naomba msaada wa kufanya connection ya C# Window form to MS access Database...
Nimejaribu ku connect, but kuna error: OleDBConnection not found
Ila nimeimport System.Data.OleDb;
But...
Wakuu mimi hii computer yangu ya HP imekwama. Kwa siku kama tatu imekuwa ikikwama kufungua page au kutii komandi mapema.
HDD yangu imefanyiwa partition na ina drive ya C na D. Drive C ina OS ya...
Wakuu wa Kazi Mambo Vipi? Jamani Naomba Mnisaidie Akili na Mawazo Kidogo.
Nimefungiwa wireless Internet Sasa nataka Mpaka Office zingine waweze kupata Internet Nikapata wazo la Kufunga d-link...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.