habari wana jf | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

habari wana jf

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by moulaa, Jun 1, 2011.

 1. moulaa

  moulaa Member

  #1
  Jun 1, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 42
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  eti unapo install win xp kwenye laptop iliyoandikwa designed for windows vista au 7 hua ina miss audio na vga. hua nn??
   
 2. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #2
  Jun 1, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,668
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Nadhani ni mambo ya drivers tu. Lakini mbona drivers zimejaa duniani tena mtandaoni? Usiogope mkuu weka tu hiyo xp na ukidaiwa drivers hizo za sauti kama huna CD yake tafuta online utapata tu bwana.
   
 3. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #3
  Jun 1, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,125
  Likes Received: 619
  Trophy Points: 280
  Ni drivers kama alivyosema mdau, ila kampuni nyingine hazitoi drivers za XP tena officially so ukienda site zao unaweza kukuta hakuna drivers so inabidi uhangaike mwenyewe kugundua hardware yako na kutafuta drivers sehemu nyingine.
   
 4. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #4
  Jun 1, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Cha muhimu kama watengenzaji wa laptop hawana hizo driver tembelea

  Tovuti ya watengezaji wa hardware unayotafuta driver zake
  eg kama VGA cadi ni ATI tembela tovuti yao AMD Graphics Drivers & Software mradi uwe unajua model ya VGA kwenye mashine yako

  kama sound card ni RealTeck tembelea tovuti ya realtek Realtek

  Pia Ukijua model ya hardare unayotafuta driver zake ni rahisi zaidi kupata kwenye tovuti nyingine kama CNET UK | Technology Reviews, Product News and Prices au kuchukua driver za XP za mashine nyingine but yenye version ya hardware kama yako
   
 5. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #5
  Jun 1, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,668
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Mimi nina cd ina drivers za kila sampuli za xp hivyo sina shida ya kupata drivers. Shida sina uwezo wa kuipandisha mtandaoni.
   
 6. Paje

  Paje JF-Expert Member

  #6
  Jun 3, 2011
  Joined: Apr 24, 2010
  Messages: 1,198
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  kuna program inaitwa driver genius hii. kama utainstall na kuinganisha na internet basi itakutafutia drivers zote. mara nyingi mie nimefanikiwa kupata driver hivyo. bila ya kuhangaika sana. mwachie driver genius ahangaike internet kwa ajili yako.
  hii hapa driver genius - PhazeDDL Warez .p1
  ifuate hiyo link zipo kibao hapo chagua moja uipendayo
   
Loading...