3 in 1 hp printer

Baba Matatizo

JF-Expert Member
May 5, 2011
334
64
JAMANI WATAALAM WA VYOMBO VYA KITEKNOLOJIA NAOMBA KUULIZA ETI HP PRINTER YENYE UWEZO WA KUPRINT,KUPIGA PHOTOCOPY,NA KUSCANI NI IMARA KWA MATUMIZI YA KILA SIKU?KWA KUWA HAPA NI KWA WATAALAM WA TECHNOLOGIA NA IMANI NITASAIDIWA.
Nawasilisha
 
Mimi nimeitumia kwa muda kidogo sasa kama miezi sita...but naona wino wake unaprint pages chache sana kama 130 tu..wakati unauzwa mpka 30,000 kwa black (mmoja)
 
Mimi nimeitumia kwa muda kidogo sasa kama miezi sita...but naona wino wake unaprint pages chache sana kama 130 tu..wakati unauzwa mpka 30,000 kwa black (mmoja)

Ina maana kila ukiprint page 130 unanunua wino?vp upande wa scana na photocopy?zinafanya kazi vizuri?
 
Unaweza kutumia kwa matumizi ya ofisini kila siku ndio. Lakini kama alivyokuhadharisha memba huyu ujue na cost ya wino itakuwa juu sana. Kadri unavyotumia all three gadgets combined in a single device ujue wino unatumika kila eneo unalotumia.
Na kwa uzoefu wangu wino wa HP kwa printer za sasa hivi ni ghali sana. Kwa mfano mimi ninanunu wino size 178 set nzima ya wino kwa shilling 180,000 hapa Dar. Wino tu ndio utakukimbiza!!!!!!!!!:biggrin1:
Kazi kwako.
 
JAMANI WATAALAM WA VYOMBO VYA KITEKNOLOJIA NAOMBA KUULIZA ETI HP PRINTER YENYE UWEZO WA KUPRINT,KUPIGA PHOTOCOPY,NA KUSCANI NI IMARA KWA MATUMIZI YA KILA SIKU?KWA KUWA HAPA NI KWA WATAALAM WA TECHNOLOGIA NA IMANI NITASAIDIWA.
Nawasilisha

Kila kitu ni imara ukituma kwa kufuta masharti.

kama ni printer ilitenenzwa kwa matumizi ya nyumbani ukaiweka kwenye ofisi yenye kazi nyiiiiingi inaweza isidumu. Mfano printer XYZ ili idumu inaweza kuwa intakiwa isitumke zaidi ya saa sita mfululizo . Au isitumike kuprint not more than page 200 kwa msaa sitaor per day

Sasa ukiifanyisha kazi zaidi ya uwezo wake Lazima haitadumu. Hope umeelewa

Cha muhimu always soma manual ya kifaa husika
 
Nimetumia haina tatizo lolote...ila kama walivyosema wengine wino wake ni bei kidogo!
 
MI ningekushauri hivyo vitu ungenunua kimoja kimoja maana ni kama vile utakavyonunua simu ya laini mbili ya mchina ikifa kitu kimoja ina maana mawasiliano ndio basi tena,kama unafanya kazi nyingi z kuprint karatasi tafuta printer kubwakidoogo ambayo unaweza ukaprint vitu kwa muda mrefu na wino wake ingawa ni gharama lakini unakaa muda mrefu.Hizo printer za 3 in 1 sidhsni km ziko imara kwa kufanyakazi nyingi za kiofisi.
 
Ninakubali mkuu, hizo mashine ni kwa ajili ya mambo madogodogo ya kiofisi, usithubutu kuweka stationery ukajisifu una printer, photocopy na scanner.... kuna printer moja HpLasejet 1006 ipo vizuri sana kwa kazi kubwa na bei ya wino ni poa
 
mi ninayo ila naitumia kwa matumizi ni nzuri sana haina matatizo ila kama unataka kuweka stationary usiitumie maana sidhani kama itadumu sana.its also cheap it costed me 280000 tshs.
 
Kama ofisi yako/nyumbani kwako kuna nafasi ya kutosha ni vyema ukanunua kila kifaa peke yake (FAX, Copier, Printer, Scanner), Three in one tatizo lake ni wino na inaboharibika mara nyingi feature zote zinakuwa OFF-LINE!
 
mi ninayo ila naitumia kwa matumizi ni nzuri sana haina matatizo ila kama unataka kuweka stationary usiitumie maana sidhani kama itadumu sana.its also cheap it costed me 280000 tshs.

Mankind, uliinunua wapi hii? am so desperately looking for one myself....
 
Ndo hvyo kaka kila page kama 130 inakubidi ununue wino black (30,000) coloured ipo juu ya hapo.Wino ukiisha huwezi kuprint wala ku-copy..Labda scanning pekee....Ila nasikia zipo wino za kujaza ila sijui zinakuaje...labda wadau watushauri...
 
Asante ndugu ngoja tuwasubiri wataalamu,watueleze wino wa kujaza ukoje.
 
wino wakujaza wala sio mzuri coz unaweza ukaua system yote ya printer,vitu vya bei rahisi sio vizuri na uharibifu wake ni mkubwa sana.
Asante ndugu ngoja tuwasubiri wataalamu,watueleze wino wa kujaza ukoje.
 
kama unataka kwa biashaara nunua scan mbali ,nunua hp printer 1006 mbali na copy mbali utafanya biashara kwa sababu printer inatumia toner,
 
hizo printer ni nzuri kama mtumiaji anaelewa namna ya kuzitumia. kuhusu kujaza wino kama wewe sio mtaalam inaweza kukuchukua miezi kadhaa mpaka ukafanikiwa ila mwazo utauona mgumu. lazima uchafuke sana. na usikate tamaa maana wino zingine hazina ubora. ukishapata supplier mzuri wa kukusupply wino mzuri ( ambayo sio kazi ndogo lazima ujaribu nyingi sana ) then kazi ya ku-refill itakufurahisha sana.
 
hizo printer sio mbaya ila kama ulivyoambiwa kuhusu wino, kuna baadhi ya sehemu wanajaliza wino kama utaisha, ila kama una uwezo kidogo basi mie nakushauri nunua laser printer. hapo utaprint na kuphotocopy mpaka uchoke weye kabla haujesha wino wake.
 
Back
Top Bottom