Acer Aspire 5742g Keyboard problem!

Manyanza

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
9,402
14,147
Hallo wana Jamii
leo asubuhi nawasha laptop yangu, ikawa inatoa mlio na baadhi ya keys zikawa hazifanyi kazi nimeifungua na kuisafisha na kuifunga tena lakini tatizo bado linajirudia...
ninaomba mnisaidie ni wapi ninaweza kupata Keyboard mpya na bei zake huwa zinaendaje...
nahitaji msaada wenu maana ni miezi mitatu toka nimeinunua na kurudisha kwenye warranty naona itanipotezea muda...
kwa yeyote anayefahamu duka na bei zake aniambie maana mimi, sijakaa Dar es salaam muda kidogo sijui mambo yanaenda vipi..
Heshima mbele acer_aspire_5742g.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom