Wakuu,
Hivi hizi "unlimited bundles" za Sasatel ni unlimited kwa maana halisi au kwa maana ya wao kukupa MB fulani, kisha zikiisha hizo, unaongezea nyingine kwa gharama ya ziada? Ninauliza hivyo...
Jamani habari za Jioni
Nahitaji Internet Connection yenye Speed kubwa kwa kampni ya watu kama 15 ambayo tunaweza kudownload chochote tunachokihitaji na ambayo haina tatizo kabisa je ni ipi kamuni...
Sasatel na Simply Computers nawapa siku 60 na ndani ya siku hizo muwe mmenilipa pesa zangu na kuniomba radhi,kunilipa pesa zangu na kunipa fidia kwa kunipotezea muda na nishati yangu niliyopewa na...
Vp wana JF, Naombeni mnielimishe katika hili, nimekuwa nikienda dukani kutafuta simu flani eg Nokia 5800 music express nikaambia tuna simu ya mchina original! Nisaidieni hivi kweli kuna simu ya...
Ninataka niweke window 7 kwenye PC yenye window XP S P 2 ila kuna programs na documents ninaweza poteza, hivyo nikafikria option ya reparing. Vipi hii kitu inawezekana?
Habari ya saizi wana jf,nna shida moja naomba msaada wenu,pc ambayo naitumia ina users waili,administrator na user,sasa mimi naruhusiwa kutumia user ambayo iko restricted,vitu kama ku install...
Katika huu uzi nitakuwa naweka link za framework tofauti tofauti za Java, nimegundua kuwa madeveloper wengi wa Tanzania hawana ufahamu wa framework za Java. Leo nimeanza na Seam Framework kwa...
Wanajamii forum hamjambo wote! Safi. Kuna hii iliyoanzishwa vodacom dstv mobile ambayo inakuweza kuzama channel zipazo 5 kwa njia ya streaming video kwa sasa, hasa kwa wale wenye simu yenye uwezo...
Wana JF naombeni kama kuna mwenye utaalamu wa kutuma habari au taarifa kwenye mtandao anisaidie,namaanisha hata kama sina website,najua huenda suala hili likahitaji shule ya mda mrefu lakini just...
www.JigambeBlogs.com ni web application ambayo inafanya kazi ya kuunganisha bloggers na advertisers. Inawezesha bloggers kulipwa kwa ajili ya kuandika posts zinazosifia bidhaa au biashara au...
habari zenu wana jf,
naomba yeyote mwenye ujuzi hapa tafadhali.nina modem ya sasatel,ila nashindwa kuiunganisha kwenye mtandao,nimefanya procedure zote lakini nikiconect inaleta meseji kwamba ...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.