Lenovo t400 lcd screen

Firefox

Senior Member
May 10, 2011
127
71
MAMBO VIPI WAKUU,
WAZEE KAMA KUNA ANAYEWEZA KUNISAIDIA KUPATA SCREEN YA LAPTOP YANGU, AMBAYO NI LENOVO THINKPAD T400, MODEL YA SCREEN YAKE NI:
LP141WP2 (TL)(B1) P/N: 42T0498

YA KWANGU IMEHARIBIKA, SO MWENYE UWEZO WA KUNISAIDIA KUPATA ANIAMBIE TUONGEE BIASHARA.

NI INCH 14.1 NA MAXIMUM RESOLUTION 1440 X 900, NAOMBA ANAYEWEZA KUNISAIDIA NDUGU ZANGU MAANA NIMEHANGAIKA KWA WAZEE WA MA-SCREEN WEEENGI KARIAKOO NA MNAZI MMOJA NIMEKOSA.

NGOJA NIWAWEKEE PICHA ZA LAPTOP NA SCREEN YENYEWE:
lenovo_t400.jpg




SCREEN YENYEWE IKO HIVI (HAINA INVERTER SO INATUMIA LED FOR LIGHT)

201082511485624336.jpg
 
jaman hyo laptop inakaa na chaji we acha tu!jaribu tu ebay,ni laptop moja imara sana
 
ilipata tatizo gani hadi ikaharibika?, nauliza hivyo ili nami niwe makini kutunza my Lenovo thinkpad T410 maana bei ya laptop hizi ni kubwa kuliko kawaida
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom