Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Kuna anayefahamu kuhusu faida na hasara za ipad? Msaada tafadhali; l am thinking of buying one!
0 Reactions
7 Replies
3K Views
hey people kuna web masters hapa,tunaomba tuwasiliane wazee wangu,naitaji kutengenezewa ka-web
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wadau ninatatizwa na package za Airtel,yaani wanasema wanakupa 400mb kwa 2500/- na pai wanatoa 300 mb kw 3000/- sasa kinachonishangaza inakuaje mb kubwa bei ndogo na mb ndogo bei kubwa, naomba...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari wanajamii F.Mimi nimekuwa mtumiaji mzuri wa internet kwa muda mrefu kabla hata mkongo wa mawasiliano haujaanza kuzungumziwa.Ninachoshangaa ni kwa kumekuwa kukitolewa taarifa mbalimbali...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mango, the future of Windows phone | Futurespace Magazine I’ve never been a fan of Microsoft’s mobile phone software, but having played with Mango, the next version of Windows Phone, I confess...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Watengenezaji wa cinema ya Hurt Locker wameanza mchakato wa kuwashitaki zaidia ya watu 24,000 ambao walikuwa wanashare muvi hiyo kupitia mtandao wa BitTorrent. ‘Hurt Locker’ lawsuit targets...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Rapid-release idea spreads to Firefox 5 beta Mozilla released a beta version of Firefox yesterday, its first on a new quick-release plan intended to bring features to browser users and Web...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Jamani mie nashindwa kuelewa hawa mafisadi wa Vodacom yaani karibia miezi miwili sasa kila nikinunua bundle yaani baada ya dakika chache tu unaambiwa bundle yako imekwisha jaza hela tena...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Nilikuwa nataka kudownload muvi za 700 mb na series mbalmbal, sasa ninauliza ni website gani naweza pata torrents so as nikadownload muvi? Na pia ni site gani inastore kubwa ya muvi ukiacha...
0 Reactions
4 Replies
7K Views
Kati ya symbian,Android na Windows mobile ni OS ipi inamwelekeo wa kuibuka mshindi(Symbian na mashaka nayo cause Nokia wame Partner na MS to promote Window Phone) At practical kati ya simu...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari wana Jf bila kumsahau guta. Kuna hii simu ya Nokia 5800 music express, touch screen ya korea ina ubora ule ule kama za Europe?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wajumbe samahani hivi unapofungua mafail kwenye mtandao mengine yanakuwa yameandikwa (pdf) mwanzon kabisa na mara nyingi huwa yanataka udownload na hata nikidownload nikifungua inasema file...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Suddenly I find that "word count" is not working on my computer with vista OS, word 2007. It is showing all zero. Is there a way to reset it to count?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Any challenges? PHP, JAVA??? yaani hamna maswali ya computer zaidi ya kuchakua?:tonguez:
0 Reactions
3 Replies
1K Views
UTAGULIZI Mambo ya Richmond sio tu kwetu. Labda kwa kusoma hivi tunaweza kusmile at least for few mnutes tukijiliwawaza yanayotokea kwetu na kule mbele yanatokea teh teh teh .... Apple Sucked...
0 Reactions
0 Replies
890 Views
Hi guys Nimeunguza adapter ya xbox yangu, naomba msaada kama kuna mtu anayejua zinapouzwa hapa(dar tanzania) anijulishe. Au kama kuna fundi anayeweza kuifix, basi anijulishe kwa private message...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Do i need to have a laptop and a tablet?...tofauti na 'uportability' tablets zina nini zaidi?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa sasa kasi kubwa ni katika kuhamia mobile web na mobile app vitu ambavyo ni viwili tofauti ingawa all in all kazi yao ni moja tu sharing information! Je, kwa bongo trend yetu kwa sasa ipo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
The capsule will carry four astronauts and be based on designs originally planned for NASA's Orion Crew Exploration Vehicle. Miami (CNN) -- NASA plans a return to yesteryear by developing...
0 Reactions
0 Replies
942 Views
habari jf,kuna simu nimeletewa kwa ajili ya kununua inaitwa htc model yake sijaijua ila ina slide.sijawahi kutumia simu kama hii.mwenye maujuzi nayo naomba anijuze,ubora wake udhaifu wake nk.na je...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom