Kuna kitu huwa nakiona katika laptop adapters nyingi. Huwa ni kama cha duara hivi na kinawekwagwa kabla ya pin ya kuchomeka adapter katika laptop. Sasa nimeshindwa kuelewa ni cha kaz gan na kina...
Jamani wadau naombeni mnisasidie nijue namna ya kudownload miziki kutoka kwenye web mimi ni mpenzi wa miziki lakini sijjui nifanyeje , msaada wadau na wapenzi wa muziiki
wajuzi jamani nimeshindwa kufanya installati kwenye window 7 royale xp, printa yangu ni hp laserjet p 2015. Installation naifanya kupitia network. Inapofikia kwenye kuchagua product, selection...
Wandugu majuzi Aunt wangu alialikwa na binti yake kwenda USA kwa matembezi, akaja akafikia kwa mwanae wakike mwalimu, wakaanza mchakato wa safari.
Walihangaika sana kwa takribani mwezi wasijue...
Nimefikiria nianzishe post hii kwa watu wenye mapenzi mema tubadilishane vitu tunavyoweza kubadilishana bure kabisa ikiwa ni pamoja:-
1. Software
2. Vitabu mbalimbali
3. Details za kupata chuo...
Ndugu wana great thinkers.nina cm yangu aina ya sumsung sgh 70 3G, imevunjika display na nimetafuta nimekosa.sasa nataka nibadili matumiz niifanye modem.vp inafaa niifanye modem?nina cd prgm yake...
P-O-R-N BLOCKER is a powerful software application used for blocking pornographic material. It will protect your family or classroom from inappropriate material on the Internet. If inappropriate...
Wataalam wanajami na wadau wa jukwaa la teknolojia . Leo naedelea kuleta mada za Tovuti
Nianze na maswali .au julize maswali haya Je
Unajua thamani( value) ya tovuti kama...
program is a very good tool that can be used to steal votes during elections especially during the tallying. What can be done is just taking the input votes deduct X% from W, R and Z send to C...
1. Google.com -Ni kama google ndo internet kwa sasa. inatwa search engine ila naita search answer website/engine. Inashangaza kuna watu wanakuwa wavivu wa kujishughulisha. Anauliza swali au...
Ndugu wana great thinkers.nina cm yangu aina ya sumsung sgh 70 3G, imevunjika display na nimetafuta nimekosa.sasa nataka nibadili matumiz niifanye modem.vp inafaa niifanye modem?nina cd prgm yake...
wakuu naomba msaada jinsi ya kuweka picha itokee kubwa kwenye post
kila picha ninayoweka inakuwa ndogo, picha zote ninazoweka ninatoka kwenye pc yangu
kuna mtu aliniamia copy and paste...
Baada ya kufungwa ile ya mwanzo, project bado inaendelea. Kwa mwendo ule ule wa kobe. Ukitaka kushiriki, si vibaya. Ila kunzia sasa mpaka ikae sawa, ni mwendo wa kidikteta dikteta.
project web...
Jamani natumia Modem aina ya Huawei E220 ya zain, kabla nilikua nasubscribe kwa fulldata na ilikua iko poa sana, hadi nikawa ambassador wa kujitolea wa airtel, nikawa nawashauri watu wajoin...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.