Upgrade Yahoo mail | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Upgrade Yahoo mail

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Kichwa Ngumu, Jun 1, 2011.

 1. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #1
  Jun 1, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Hi! JF members, nikifungua e mail adress yangu inanitaka kuupgrade yahoo mail yangu.
  What that? and how to upgrade? na inahitaji explorer 7 how can i know my explorer is 7, 8, or 9?
  help please
   
 2. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #2
  Jun 1, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Kwenye wisdows na application nyingi Kujua version ya software yeyote unayotumia nenda kwenye Help menu alafu chagua about xxxx. Then utajua version gani na update gani unatumia.

  Kama inahitaji explorer 7 vesion uliyonayo ni above 7 basi haitakiwi kusumbua. na ukiamua kudowload dowload IE version 9 kabisa na sio 7
   
Loading...