CPU fan spins for few secs and stop at computer startap

Shark's Style

JF-Expert Member
Oct 27, 2010
311
182
Nina computer desktop kwa miaka minne sasa ila sasa imeanza tabia ya kujizima baada yakuwa nimeiwasha, nikahisi ni uchafu tu ila nilipoifungua na kuishafisha ndani nikaitest kuwasha tena ikawaka na fan ikawa ina zunguka fresh ila baada ya kama sekunde 30 ika zima ila computer ikaendelea kuwaka lakini haiwaki muda mrefu hauzid dakika 10 itajizima au kurestat nimehakikisha kila connection ipo sawa hasa hiyo fan. hapo mwanzo hapakuwaa na tatizo hilo na sijui tatizo nini. naombeni msaada nijue chakufanya I'm stucked here.
 
fan yako kweli inapoza processor?jaribu kununua heatsink compound uweke kwenye processor and see.Check your bios settings also..
 
badilisha Fan imeshakwenda hiyo.... na computer inazima coz processor inapata moto
 
Back
Top Bottom