Msaada. Password kwenye desktop imegoma kufanya kazi

Rutunga M

JF-Expert Member
Mar 16, 2009
1,769
1,382
Siyo kwamba nimeisahau bali ninaitumia kila siku na ina hata hint lakini inagoma kabisa kwa sasa na humo kuna mambo muhimu sana
Hapa solution ni nini?
nitashukuru
 
Siyo kwamba nimeisahau bali ninaitumia kila siku na ina hata hint lakini inagoma kabisa kwa sasa na humo kuna mambo muhimu sana
Hapa solution ni nini?
nitashukuru

Kuna laptop yangu imeibiwa inawezekana ikawa ndo hiyo
Hawezekani ukasahau password yako, laptop ya wiz hiyo
 
Mh...Angalia vizuri kuna kitu kidogo unakosea labda space au CAPSLOCK ipo on au missspelling. hiyo ni first stepikigoma kuna software nitakupa ukiweka cd tu basi inakupa kila kitu
 
Kuna laptop yangu imeibiwa inawezekana ikawa ndo hiyo
Hawezekani ukasahau password yako, laptop ya wiz hiyo

Nilikuwa nakuheshimu kutokana na post zako za nyuma lakini naona kama umeanza kuteleza.

mimi sijasema Laptop na nimesema kuwa hata katika hint jina la parthword linaonekana

ni computer ya hapa ofisini na siitumii pekee

Karibu tena
 
Tumepata solution.

Mmoja wetu aliingia na kubadilisha parthword hivi sasa emeweka na imekubali

MJADALA UMEFUNGWA

ASANTE
 
Tumepata solution.

Mmoja wetu aliingia na kubadilisha parthword hivi sasa emeweka na imekubali

MJADALA UMEFUNGWA

ASANTE

Nilidhani kwenye heading yako yalikuwa ni makosa ya kawaida "typing error" lakini naona na hapa umerudia tena. Naomba nikusahihishe, SIO PARTHWORD NI PASSWORD...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom