Jamani ebu oneni Layout ya Website hii then Semeni

sekulu

JF-Expert Member
Jan 17, 2011
988
157
Sidhani kama kuna Haja ya kubishana kwamba hi website ni nzuri au mbaya!

Mzumbe.jpg
 
Zamani Haikuwa hivi na leo hii na siku zinavozidi kwenda ndo inazidi kuwa mbaya!
 
Mkubwa Sekulu!
Hujaeleweka unachotaka!
KWANZAUMESEMA HAKUNA SABABU YA KUBISHANA KUWA NI NZURI AU MBAYA!..as if tayari kuna watu wamebishana!
Lakini mwenyewe unajisahau na kuvunja katazo lako kwa kusema kuwa sasa hivi inazidi kuwa mbaya
 
Ngoja watalaam watue hapa watufafanulie kwa upande wangu haijanivutia, ni kama vile there is something missing.
 
Hii inaonyesha ni jinsi gani hii nchi ilivyo na mizengwe. Naombeni mnisaidie keys za kaspersky internet security 2011.
 
Mkubwa Sekulu!
Hujaeleweka unachotaka!
KWANZAUMESEMA HAKUNA SABABU YA KUBISHANA KUWA NI NZURI AU MBAYA!..as if tayari kuna watu wamebishana!
Lakini mwenyewe unajisahau na kuvunja katazo lako kwa kusema kuwa sasa hivi inazidi kuwa mbaya

umeeleweka mzee
 
Anyway labda ni kwa kuwa nimekuwa nikifuatilia kwa muda, Ishu ni kwamba hii site ilikua ina lay out nzuri sana but siku zinazidi kwenda na ndo inazidi kuwa mbaya!, Tangu mwaka 2005 naiangalia na lay out inazidi kuporomoka,
Samahani kama nimekuchanganya!, au kama utakuwa haunielewi
 
Nimetazama Source naona hii ni static page

Technically Pia haijafuata basic standards za kudevelop Tovuti . Moja yake ku kutengenaisha presentaion na layout yaani CSS na HTML. Wao wamechanganya zote kwenye file moja Sijaona wametumia DTD gani ili kujaribu page verfication na validation.

Vitu kama Staff directory , Reasercha and publication vilitakiwa takuwa kuwa kwenye database na sio flatfile.

While machoni inaweza kuonekana inapendeza but simple upadate au postiing new artcle lazim watafute mtaalam.

Mbona kuna Open source CMS kibao tu na nzuri kwa nini hao wanaowatengenezea wasitumie cms kama za joomla au wordpress.
 
Kama hawajui kabisa na hawana wataalam inakuaje??
 
kitengo cha it mzumbe kina watu wachache sana-IT specialist kama kina batholomewo,mudy n.k wapo vyema-sijui kikwazo ni nini
na hii website yao haina sehemu yoyote yenye vacancies/employment, nashindwa kujua kwa nini hawaweki hii kitu
 
Zamani Haikuwa hivi na leo hii na siku zinavozidi kwenda ndo inazidi kuwa mbaya!

hii website naifahamu sana na tuliwahi kupewa kuidesign ktk assignment chuo coz it was one of the best in tz 2006/2007, tatizo hapa ni design principles zimekiukwa kwa nguvu zote, hii mimi ninahisi ni kutokana na bajeti ndogo inayotolewa kudesign/redesign system siamini kama unaweza ukadesign website ya shule kwa tsh laki 5 labda kama utakimbilia physical design without analysis etc na matokeo yake ndio hayo unayoyaona
 
Umenisoma sna, Asante
 
kitengo cha it mzumbe kina watu wachache sana-IT specialist kama kina batholomewo,mudy n.k wapo vyema-sijui kikwazo ni nini
na hii website yao haina sehemu yoyote yenye vacancies/employment, nashindwa kujua kwa nini hawaweki hii kitu

Hahahahahahahahh:pound:
 
Au hiki ndicho kilichowafanya wakatae "mohamed kawia" ?

Huwezi jua Mashirika ya uma yana Mambo sana, tena Saaana!, Kunasehemu nilikua nafanya Intern kwenye Mambo ya IT, Kna Mzee mmoja akasema jamani tuwe makini hawa vijana wasije kuchukua nafasi zetu baada ya hapo tulitengwa mbaya kabisa mpaka tuliondoka kwani tulikua hatupewi kazi, tukipewa kazi jamaa wanakuja wanajifanya wanatukataza kufanya ili wafanye wao then zikiwashinda Wanarudi kutuomba tuwasaidie, Tulikaa kama matikiti maji!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom