Msaada waku unlock huawei modem ec226 ya zantel | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada waku unlock huawei modem ec226 ya zantel

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by donlucchese, Jun 2, 2011.

 1. donlucchese

  donlucchese JF-Expert Member

  #1
  Jun 2, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 9,355
  Likes Received: 3,494
  Trophy Points: 280
  Salama wakuu? shida yangu ni moja kama inavojieleza hapo juu. tatizo ni kwamba hizi modem hazijaandikwa imei(ni version ya zamani kidogo) so dzain kama kuna S/N peke yake kwaiyo na kwama katika swala zima lakuchakachua. naomba msaaada wenu wakuu. ni hayo tu
   
 2. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #2
  Jun 2, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Ungeshapitia thread zilizopita usingeuliza swali hili maana linaulizwa kila siku.
  Kwa ufupi hizi modem za CDMA type usijisumbue kuchakachua, hutaweza! dunia nzima bado hackers wanajaribu kulifanyia kazi lakini hawajaweza!
   
 3. Paje

  Paje JF-Expert Member

  #3
  Jun 2, 2011
  Joined: Apr 24, 2010
  Messages: 1,198
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  hiyo modem yako kwa vile ni ya Zantel basi ni ya CDMA. huwezi kuitumia kwa tigo , airtel wala voda, kama unataka kuitumia kwa ttcl na kama SIM card yake siyo embeded (kubandikwa humo humo bila kuonekana) na ina weza kuingia sim card basi ttcl wanafanya hivyo kwa TSH 1500 , i mean buku jero.
  kama haitumii sim card basi ndio haiwezekani
   
Loading...