Nimesoma article kwenye link hii Ban PowerPoint! - Tim Worstall - It's All Trivial Or Obvious Except - Forbes inaonekana wazungu wanataka turudi kwenye flip charts. na most of them wanasema it is a wastage of time and money kukaa kuangalia mtu akifanya presentation na uswiss na Sweden wameunda chama kabisa cha kupambana ili kuzuia powerpoint presentations. je, hapa kwetu kuna watu wanaunga mkono hii movement?