QUOTE=andycachy;2201002]Nina Iphone, sijui nimebonyeza nini imeanza kuonyesha herufi kubwa na icon kubwa kwenye screen, yani kama ume zoom out inakua shida kutumia msaada wadau[/QUOTE]Nenda kwenye settings,general,accesibility,zoom angalia kama iko on iweke off nadhani tatizo litakuwa limekwisha.