Scanner management software

mang'ang'a

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
828
379
Naomba msaada wakuu, nini run Internet business, msimamizi amekua akinipiga bao mbaya kabisa kuhusu mapato, nimeweza kumdhibiti kwenye maeneo mengi sasa tatizo nililonalo ni je? kuna software ambayo nitaweza install kisha i keep record ya scans zilizofanyika kwa siku?
 
Pole mkuu. inawezekana....kwa sababu scan inatumia computer si ndio?

basi kuna software ukiweka ina record activity zote zilizofanyika kwenye hio computer. wewe ukija unaangalia report tu.

zipo nyingi sana. mfano award keylogger

Award Keylogger supports 98/XP/Vista/Windows 7 and Windows 64 bit
Award Keylogger is fast, invisible and easy-to-use surveillance tool that allows you to find out what other users do on your computer in your absence. It records every keystroke to a log file. The log file can be sent secretly with email or FTP to a specified receiver. Award Keylogger can also detection specified keywords and take a screenshot whenever one is typed, displaying findings in a tidy log viewer. It causes no suspicious slowdowns and takes very few system resources. all this is happening in full stealth mode so the person you are monitoring will never be aware of it.

http://rapidshare.com/files/141939284/Spy_MyPC_4.8.rar
 
MH!! yap ni spyware lakini watu wengi hatujui jinsi ya kutumia for gud reasons!! yeye anataka kujua vitu anavyofanya jamaa kwa siri lite? kama itafanya kazi iliyo elezea hapo juu basi ni nzuri tena haitaonekana na jamaa hatajua kama anachumguzwa, tena akibisha anapewa copy na picha ya alicho kifanya tena hawezi kui unstall hadi atie password. nadhani itasaidia kama unanjia nzuri zaidi ya hiyo basi safi mpe jamaa. uzuri wa hii ni usiri na hakuna anayejua kama anayofanya yanaonekana.

the only trick ni kufanya antivirus wako akubali uwepo wa hio software..una enda kui add kwenye exception list. so itakuwa haionekani kama spyware
a spyware?? ndo solution?? seriously??

zipo, lakini hio hapo juu sio solution nzuri!
 
Vile vile nadhani kwenye windows unaweza kutrace events logs through event viewer

Au unaweza kufanya customisation kwa kuadd filter specifics za application ya hiyo scanner. Then every time unatak kujua scanner yako imetumikaje unakwenda kwenye application event viewer ya hiyo scanner.

I assume huyo anayekupiga bao hajui mambo ya event viewer so he or she never bother to go and delete the logs there .......

NB
sijawai kufanya hii but ni idea tu imenjia sababu najua most sveything inachotokea kwenye compute logs zake zinakuwa recorded kwenye Event viewer. So if u have some comptence unawea kujaribu.
 
Pole mkuu. inawezekana....kwa sababu scan inatumia computer si ndio?

basi kuna software ukiweka ina record activity zote zilizofanyika kwenye hio computer. wewe ukija unaangalia report tu.

zipo nyingi sana. mfano award keylogger

Award Keylogger supports 98/XP/Vista/Windows 7 and Windows 64 bit
Award Keylogger is fast, invisible and easy-to-use surveillance tool that allows you to find out what other users do on your computer in your absence. It records every keystroke to a log file. The log file can be sent secretly with email or FTP to a specified receiver. Award Keylogger can also detection specified keywords and take a screenshot whenever one is typed, displaying findings in a tidy log viewer. It causes no suspicious slowdowns and takes very few system resources. all this is happening in full stealth mode so the person you are monitoring will never be aware of it.

http://rapidshare.com/files/141939284/Spy_MyPC_4.8.rar

Nashukuru sana kwa majibu yenu nitayafanyia kazi
 
Back
Top Bottom