Malaria na Jakuzi

Malaria na Jakuzi

fxb

Senior Member
Joined
Jun 22, 2011
Posts
123
Reaction score
24
Wadau usiku wa tarehe 7th July 2011 nikiwa naangalia taarifa katika luninga TBC walikuwa wakionyesha mabanda na kuwahoji watumbalimbali.
Kukawa na mkurugenzi anatangaza bidhaa zake moja ya msisitizo aliouelezea ni kuwa "mtu akitumia Jakuzi hawezi kuugua malaria" wanasayansi kuna ukweli?
 
Back
Top Bottom