Online Radio

Online Radio

Chief Lugina

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2011
Posts
286
Reaction score
77
Please kwa mtu yeyote anayejua ku Design online radio naomba msaada, am some how good in IT lakini kama kuna mtu atanipa starting point au location ambapo naweza pata resources please let me know!!
 
nadhani mkuu aliyeulza swali anahitaji sehemu ya yeye kutangaza yaani awe mtangazaji na si msikilizaji ... nakumbuka kipindi cha uchaguzi bbc na watu wengine walikuwa wanatumia Ustream

Ndo hiyo shoutcast mkuu, unafikiri hizo channel zote zinatoka wapi? Unaweza kulaunch yako kama unataka.
 
nadhani mkuu aliyeulza swali anahitaji sehemu ya yeye kutangaza yaani awe mtangazaji na si msikilizaji ... nakumbuka kipindi cha uchaguzi bbc na watu wengine walikuwa wanatumia Ustream
Hapana mkuu nataka ya kwangu mwenyewe siyo ya kwenda kutangaza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom