kuhusu tigo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kuhusu tigo

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by mbojeinc, Jul 5, 2011.

 1. m

  mbojeinc Member

  #1
  Jul 5, 2011
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nimenunua line mpya ya tigo iliyosajiliwa nimeiwekea kifurushi cha wiki nikiiweka kwenye modem na ku connect inaniambia connection terminated. Tatizo kama hili linasababishwa na nini?
   
 2. Paje

  Paje JF-Expert Member

  #2
  Jul 6, 2011
  Joined: Apr 24, 2010
  Messages: 1,198
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  kuna step umebugi
   
 3. m

  mbojeinc Member

  #3
  Jul 6, 2011
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  step ipi hiyo mkuu maana hata hao customer care wameshindwa kunipa msaada mpaka nikaenda mlimani city 3 july wakaniambia watanijulisha lakini wapi mpaka leo kimya!!
   
 4. P

  Paul S.S Verified User

  #4
  Jul 7, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  sijawahi tumia modem ya tigo lakini umejaribu kui uninstall kisha install upya
   
 5. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #5
  Jul 7, 2011
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mkuu, ingekuwa vizuri ungetuelekeza kiundani ulitumia njia zipi kujiunga naicho kifurushi cha wiki, je ulituma SMS au ulitumia dashboard ya tigo kujiunga na hiyo huduma? pia isije kuwa profile unayotumia ku-connect kwenye mtandao ina kasoro au umeibadilisha kima kosa,
   
 6. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #6
  Jul 7, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  Umenunua line ya tigo ya kawaida au ya moderm maana ziko za aina mbili. Ukinunua ya kawaida inakubali lakini inakula sana pesa walivyonishauri mimi sijajaribu. So wakanambia ninunue line ya moderm na ninajiunga na kifurushi cha 45,000 Tshs cha mwezi kwa raha msitarehe haina shida kabisa
   
 7. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #7
  Jul 7, 2011
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hakuna line ya kawaida na ya modem, zote ni sawa tu. Walikuingiza mjini tu hao jamaa wakitaka ununue line na ujiunge na kifurushi wanachotaka wao.
   
 8. Babuu blessed

  Babuu blessed JF-Expert Member

  #8
  Jul 7, 2011
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  mhh elfu arobaini na tano kumbe tigo wanaviwango vya juu eheee!pole zako
   
 9. g

  gwambali JF-Expert Member

  #9
  Jul 7, 2011
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 230
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Mkuu, hiyo ni unlimited, na speed yake ni ya kasi mno.
   
 10. m

  mbojeinc Member

  #10
  Jul 7, 2011
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nilitumia dashboard ya tigo na software haina tatizo kwa sababu nikitumia line yangu ya tigo ninayotumia kwenye simu ina connect!*
   
 11. B

  Bingley Senior Member

  #11
  Jul 8, 2011
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 109
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  samahani kwa kuuliza...Ila unauhakika kuwa ni unlimited au 2 wanatoa gb nyingi kdg? Maana cjackia tigo wakiwa na package ya unlimited!
   
Loading...