gracious86
JF-Expert Member
- Mar 25, 2011
- 437
- 55
salaam wakuu,natumaini mambo ni shwari. Naomba msaada kuna rafk yangu jana kaibiwa blackberry bold yake,je is there any means kuweza kuitrack nakuirecover? Natanguliza shukran za dhati wakuu
Imei sio issue siku hizi coz kuna imei generator pgm inayoweza kubadili imei yake original ingekuwa iphone ningekusaidia coz iphone waweza change kila kitu lakini sio imei.inawezekana kama unayo IMEI number then unapeleka kwa service provider ...... wataweza ku track