Toa maoni yako.

Toa maoni yako.

Webville

Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
9
Reaction score
0
Wanajamvi naombeni michango yenu, nina maswali machache juu ya e-learning kwa mazingira ya Tanzania.
1. Hali halisi ya matumizi ya e-learning kwa Tanzania ikoje kwa sasa?
2. Ni matatizo gani yanaikabili e-learning hapa Tanzania?
3. Kuna faida zozote au ulazima wowote ule kutumia e-learning kama moja ya mfumo wa kufundishia hapa Tanzania?
4. Nini kifanyike kuboresha e-learning hapa Tanzania?
Natanguliza shukrani kwa michango yenu.
 
Back
Top Bottom