Apple Mac os x 10.7 lion

i411

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
906
290
Wale wanaotumia mac mimi nimeshachakachua os lion kutoka kwa the pirate bay unadownloadi na kuiweka kwa mac yako kwisha kazi kila kitu kinafanya kazi. Hii ni lile toleo la mwisho la developers ndio watakayo tuuzia.
 
Hongera mkuu ila una bahati ungekuwa USA jela.....na system update haitofanya kazi ungeishia kununua nyingine
 
I can't guarantee that this procedure will work for you I have only tested it on my Asus P6T SE with Intel i7 920.
Im not responsible for any damage this might causes to your pc.

Video Tut: YouTube - ‪Installing Lion GM/DP4 On PC Without USB‬‏

This method works with Lion GM.
Tested on Asus p6t SE.
img-resized.png
Reduced: 50% of original size [ 1280 x 1024 ] - Click to view full image
2a4wg3s.png

Note: Installing Lion Gold Master:

Before you can proceed to step 1 you first have to right click on the install file and select show package contents.
then go to Contents->SharedSupport and mount InstallECD.dmg Then you can proceed with the steps below.

img-resized.png
Reduced: 82% of original size [ 773 x 445 ] - Click to view full image
2njbjif.png

img-resized.png
Reduced: 81% of original size [ 781 x 443 ] - Click to view full image
xgkvhx.png

Requirements:

1. OS X Lion dmg.
2. Working Mac OS X(I’m assuming you have only one hdd)

Step 1: Go to Disk Utility and click on the plus sign to create a new 10GB partition.

img-resized.png
Reduced: 85% of original size [ 748 x 621 ] - Click to view full image
i2n66h.jpg

img-resized.png
Reduced: 85% of original size [ 749 x 618 ] - Click to view full image
mkarz8.png

img-resized.png
Reduced: 85% of original size [ 750 x 620 ] - Click to view full image
msm4o9.png

Step 2: Mount your OSX Lion dmg and show hidden files you can download the software i used from here .

img-resized.png
Reduced: 50% of original size [ 1280 x 1024 ] - Click to view full image
1zv3237.jpg

Step 3:
1.Mount BaseSystem.dmg.
2.Go to Disk Utility.
3.Select the partition you made earlier and then click on Restore.
4.Chose Mac OS X Base System as Source, and the partition you made as the Destination.
5. Click restore and wait for it to finish.

img-resized.png
Reduced: 50% of original size [ 1280 x 1024 ] - Click to view full image
vdh99j.jpg

Step 4:
1.After the restore operation complete unmount Mac OS X Base System.
2.Open the partition you made and go to System->Installation.
3.Delete the Packages file.

img-resized.png
Reduced: 90% of original size [ 705 x 426 ] - Click to view full image
11rt69w.png

Step 5:
1.Open Mac OS X Install ESD and copy the packages folder.
2.Paste the packages folder in System->Installation to the partition you made.

2z7e7uq.png

img-resized.png
Reduced: 90% of original size [ 711 x 426 ] - Click to view full image
1snj0x.png

Step 6:
1.Download Chameleon RC5 752 from here.
2.Install Chameleon on both the partition you made and your snow partition.

Step 5:
1.Go to the extra folder on your snow partiton and copy DSDT.aml and your extensions.
2.Paste them in extra on the partition you made.

ptwl5.png

img-resized.png
Reduced: 81% of original size [ 783 x 419 ] - Click to view full image
33kajk2.png

Step 6:
1.Open Mac OS X Install ECD and copy these five files to the root of your new partition.
1..disk_lable.
2.boot.efi.
3.kernelcache.
4.mach_kernel.
5.MacOSX_Media_Background.png.

img-resized.png
Reduced: 97% of original size [ 656 x 569 ] - Click to view full image
2m6tp9g.png

img-resized.png
Reduced: 97% of original size [ 656 x 569 ] - Click to view full image
2m6tp9g.jpg

Step 7:
1.reboot and make sure to boot from the HDD you made the partition on.
2.From the Chameleon boot screen select the partition you made.
3.carry on with the installation as normal.

img-resized.png
Reduced: 40% of original size [ 1600 x 1200 ] - Click to view full image
52ezj6.jpg

img-resized.png
Reduced: 40% of original size [ 1600 x 1200 ] - Click to view full image
30w16l5.jpg

img-resized.png
Reduced: 40% of original size [ 1600 x 1200 ] - Click to view full image
2eqdfkx.jpg

img-resized.png
Reduced: 40% of original size [ 1600 x 1200 ] - Click to view full image
2eoialy.jpg

img-resized.png
Reduced: 40% of original size [ 1600 x 1200 ] - Click to view full image
j5cqhk.jpg

img-resized.png
Reduced: 40% of original size [ 1600 x 1200 ] - Click to view full image
x5cj8z.jpg

img-resized.png
Reduced: 40% of original size [ 1600 x 1200 ] - Click to view full image
10f2fea.jpg

Post-installation:

1. Install Chameleon RC5 752 on your lion partition.

jjsaxg.png

2.I only needed the sound and network drivers for my board you can download them from here.
 
wewe mbona hujasema umetumia njia gani kuiweka hiyo Lion OSX developers? na ume download ipi Lion ? namba 2 au 3 au 4?
Mimi nimedownload tuu hapo kwa thepiratebay hiyo final yao edition goldem master seed ya developers na hiyo version ndo inakuwaga ya mwisho kutolewa kwa watu. nadhani hawa watu wa apple wameliki wenyewe hilo file ili wale ambao hawanunuagi softwares wadownload na wachangie kwenye vitu ambavyo havifanyii kazi vizuri mapema ili wavishuhulikie. kwamfano nimedownloadi sasa kwa mashine yangu na nimeona kama utorent haifanyi kazi tena sasa nikicomplain hawa jamaa watatoa update later na nikama nimechangia kuifanya os x kuwa stable.
 
Unaniachanganya umesema kuwa ume Download kwenye utorent na unasema haifanyi kazi tena kivipi? mbona unanichanganya? mwanzo ulisema umeshachakachuwa kwenye Utorent sasa unasema haifanyi kazi kwenye Computer yako? sasa ni kuelewe vipi?
 
Nimedownload na utorent alafu nikaupgrade kwa OS lion from SL sasa natumia os lion na ndohiyo utorent haifanyi kazi tena ni kama security settings za lion zinabloc
 
mimi bado nipo na Snow leopard 10.6.7 naingojea hiyo Lion Final itoke maana hizo za goldem master seed ya developers zinaniumiza kichwa kuna kitu kinaitwa (Command) nyingi tu ukijaribu kuweka hata wakati mwengine kwenye hiyo installation yake inaweza kugoma au kuleta kitu kinaitwa ( Panic Kernel )kama wewe umefanikiwa kuweka kwenye P.C yako ingawa hujaniambia umeweka kwenye Laptop? au

kwenye Desktop? mimi nimeweka kwenye Desktop na Laptop natumia pamoja na Windows 7 Ultimate na kwenye Desktop nimeweka hiyo snow Leopard lakini nimetumia Hard disk yake kivyake Hard disk inayotumia Sytsem ya kizamani ya IDE sio Sata na huku ninayo Windows 7 Ultimate yenye Hard Disk ya Sata 1 TB na Drive ya Sata ya DVD Room, wewe umeweka kwenye Laptop au Desktop?
 
Mimi nimedownload tuu hapo kwa thepiratebay hiyo final yao edition goldem master seed ya developers na hiyo version ndo inakuwaga ya mwisho kutolewa kwa watu. nadhani hawa watu wa apple wameliki wenyewe hilo file ili wale ambao hawanunuagi softwares wadownload na wachangie kwenye vitu ambavyo havifanyii kazi vizuri mapema ili wavishuhulikie. kwamfano nimedownloadi sasa kwa mashine yangu na nimeona kama utorent haifanyi kazi tena sasa nikicomplain hawa jamaa watatoa update later na nikama nimechangia kuifanya os x kuwa stable.
Ungejaribu kuiweka kwa njia ya hapo juu ninafikiri usingeza pata mambo ya system Security ku block
 
Mkuu i411 jaribu kuifuatilia hii Video huenda ukaweza kuondosha tatizo la Security System Block hebu ona hii Video

Last edited by a moderator:
mimi bado nipo na Snow leopard 10.6.7 naingojea hiyo Lion Final itoke maana hizo za goldem master seed ya developers zinaniumiza kichwa kuna kitu kinaitwa (Command) nyingi tu ukijaribu kuweka hata wakati mwengine kwenye hiyo installation yake inaweza kugoma au kuleta kitu kinaitwa ( Panic Kernel )kama wewe umefanikiwa kuweka kwenye P.C yako ingawa hujaniambia umeweka kwenye Laptop? au

kwenye Desktop? mimi nimeweka kwenye Desktop na Laptop natumia pamoja na Windows 7 Ultimate na kwenye Desktop nimeweka hiyo snow Leopard lakini nimetumia Hard disk yake kivyake Hard disk inayotumia Sytsem ya kizamani ya IDE sio Sata na huku ninayo Windows 7 Ultimate yenye Hard Disk ya Sata 1 TB na Drive ya Sata ya DVD Room, wewe umeweka kwenye Laptop au Desktop?
Hata mimi nilikuwa sina uhakika na hii GMS copy lakini nikaona online watu wenye system kama yangu imeinstal bila tatizo. Mimi natumia MBP '13 mid 2010 sasa ndo nikaistal kwa komputer yangu, Sijafanya partition kwavile hii os mpya ni kama upgrade tuu ndo maana nikaistal na ilijiweka bila tatizo, hata computer imekuwa faster hasa zile program za Apple kama safari kuna site ilikuwa inachemka kufungua sasa ni faster
 
Back
Top Bottom