Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

i need to update my drivers are way out f date, now i need an utillity that has its activation keys
0 Reactions
0 Replies
810 Views
Hello wakuu! kwa yeyote mwenye serial Keys za Adobe CS 3.... Heshima mbele, lidumu jukwaa la Technolojia
0 Reactions
5 Replies
1K Views
hi 2 all technologists and scientists bila kuwasahau wa zee wa {<html><body><font color="0000" size="3">programmers</font></body></html>} i just mean wazee wa lugha ya mashetan a.k.a...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani mimi napenda sana mziki na nina ndoto za kuwa producer. Nimeanza nza tumia fl studio toka niko form3 mpaka saqsa niko chuo mwaka wa 3, lakini sijui kupga piano tan keyboard ile ya ukweli...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
hello friends, kwa yeyote anayeweza kunisaidia registration key ya time watcher plse nahitaji msaada wenu
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wanajamii naombeni msaada jinsi ya kuangalia encrypted chanels kwenye decoder yangu inayotumia antena ya kawaida.yenyewe inashika almost chaneli zote za ving'amuzi vya tanzania na...
0 Reactions
0 Replies
904 Views
Wakuu habari..... Naombeni msaada ninatumia hp dv5-2155dx ram 4gb processor intel i3 ambayo nimeinstall ubuntu 11.04 na windows 7 profession ktk partition tofauti. Tatizo ni kuwa kila nikiacces...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
hello friends, kwa yeyote anayeweza kunisaidia registration key ya time watcher plse nahitaji msaada wenu<br><br>
0 Reactions
0 Replies
924 Views
hey guys nauza samsung wave two still new nimetumia kwa muda mfupi guarante 1 month if interested coll 0713619476 google it to see its specs.. Ni hayo tu
0 Reactions
7 Replies
2K Views
ApTiquant issued a press release claiming that it had invited 100,000 web users to take IQ tests and matched their results with the type of browser they used.It also supplied extensive research...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
wadau kuna plan nafikilia kuja kufundisha masomo ya computer hasa kwa vijana wetu wa shule za msingi,nitaanza mwakani nikiwa hai,nitafundisha bure bila ya malipo,na vilevile nina mpango wa...
2 Reactions
17 Replies
5K Views
wana JF naomba kuuliza-eti simu ya mkononi inatolewa ushuru ikitoka nje-na huwa ni kiasi gani?--help please
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nina mpaka wa kutuma newsletter kwa wateja wangu zaidi ya 6000 tatizo ni software sahihi ya kutumia kuwatumia nimejaribu kutumia outlook 2003 zimeenda kwa wateja wanne tu sijaelewa tatizo....je...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
nilikuwa nimefungua email yangu kwenye yahoo, wakati bado niko signed in, ndugu mmoja naye akaomba naye afungue email yake ambayo pia ni yahoo. nikafungua window mpya ya yahoo lakini bado nikakuta...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuna wenzetu humu wamewahi kupata matangazo toka kwa watu wanaotumia majina ya INTERSWITCH au kujifanya mawakala wa INTERSWITCH , unaambiwa ukingie kwenye tovuti ya interswitch na kubadili taarifa...
0 Reactions
0 Replies
980 Views
wadau naomba msaada wa namna ya ku unlock application store ya i-phone version 4.1.
0 Reactions
0 Replies
765 Views
Naomba msaada kwa mtu anaejua namna ya kupata chanel nzuri za muvi na mpira kwa kutumia decoda za free chanel. Decoda nayotumia ni mediacom. Kwa muda mrefu tulikuwa tunapata etv, muvi tv...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Natafuta watumiaji wa smartphone hasa nokia n,e, and x-series hapa jukwaani tubadilishane mawili matatu.I invite all!
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Nigeria launches two satellites NigeriaSat-2 could help Nigeria manage its natural resources Continue reading the main story...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamani mimi siyo mtaalam sana wa computer, tangu jana kwenye laptop yangu nimejikuta nikifungua website yoyote ile, haifit kwenye screen size. Maandishi yanasambaa sana nikitype email, au nikisoma...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom