Wakuu msaada niweze kupata mtandao kwenye window

Puza

Senior Member
Dec 11, 2010
106
12
Wakuu habari.....

Naombeni msaada ninatumia hp dv5-2155dx ram 4gb processor intel i3 ambayo nimeinstall ubuntu 11.04 na windows 7 profession ktk partition tofauti.
Tatizo ni kuwa kila nikiacces mtandao kupitia window either kubrowse au kufanya any update inastack mpaka niizime kwa kuhold power button ila nikifanya shughuli nyingine mashine inapiga mzigo bila tatizo.Tatizo kama hili liliwahi kuwepo awali nilipokuwa nikitumia windows 7 home premium 64bit na kwa fikra yangu nilidhan labda tatizo ni window nikaformat na kuweka hii,awali kwa window hii ilianza vizuri lakini sasa imerudia tena hili tatizo.Nikitumia ubuntu mtandao napata bila tatizo.
Hatua nilizochukua hadi sasa ni kubadilisha browser delete cookies,prefetch na temporary file.

Naombeni msaada wenu wataalamu.
 
Back
Top Bottom