Time watcher

amaa

New Member
Feb 20, 2011
4
0
hello friends, kwa yeyote anayeweza kunisaidia registration key ya time watcher plse nahitaji msaada wenu
 
cafe zote naona wanatumia evaluation version. BTW, TW inaweza kuwa terminated na task manager kama huja restrict account
 
Jaribu ku google HANDYCAFE na ui download bure. Hii ni nzuri kuliko Time watcher. Hawa wa Handycafe wanaku register na kukutumia registration keys. wao wanabenefit kwa kupata mrejesho wa uitumiavyo. huipati yote kama wanaoinunua lakini kwa matumizi ya kawaida tu ya internet cafe zetu ni nzuri. unakuwa na nakala ya server kwa control ya watumiaji na copy ya clients kwa watumiaji. pia unaweza kujua kiasi gani cha hela zimepatikana na unaweza soma pages ambazo client anaziperuse ingawaje sio vizuri. Ina provision ya ku allow printer sharing etc. mie nimeipenda kuliko trial copies za time watcher
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom