Email: kwa nini hili haliwezekani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Email: kwa nini hili haliwezekani?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by JAYJAY, Aug 19, 2011.

 1. JAYJAY

  JAYJAY JF-Expert Member

  #1
  Aug 19, 2011
  Joined: Oct 31, 2008
  Messages: 2,495
  Likes Received: 824
  Trophy Points: 280
  nilikuwa nimefungua email yangu kwenye yahoo, wakati bado niko signed in, ndugu mmoja naye akaomba naye afungue email yake ambayo pia ni yahoo. nikafungua window mpya ya yahoo lakini bado nikakuta email yangu ndiyo iko signed in, nikafungua window nyingine nikakuta ni vile vile. ilibidi mwishoni ni sign out email yangu mimi, kisha ndipo jamaa alipoweza na yeye kufngua email ya kwake. sasa kwa nini hili la kufungua email za watu tofauti wanaotumia mtandao mmoja (mfano yahoo) kwenye computer moja kwa wakati mmoja haliwezekani (au linawezekana?), na je inawezekana mtu akafungua email yake kwa kutumia computer mbili au zaidi kwa wakati mmoja bila tatizo ( mfano mtu huyo yupo na computer nyingi kama kwenye internet cafe)
   
 2. Lussadam

  Lussadam JF-Expert Member

  #2
  Aug 19, 2011
  Joined: Oct 13, 2007
  Messages: 1,051
  Likes Received: 386
  Trophy Points: 180
  1. Inawezekana watu wawili tofauti kusign katika computer moja kama mtatumia browser mbili tofauti. mfano wewe umesign in kwenye Internet Explorer na mwingine akasign in kwenye Mozilla Firefox
  2. kuhusu kufungua email yako katika computer mbili i think its impossible japo nimejaribu kufanya hivyo kwenye computer na kwenye Iphone imewezekana bila shida yoyote
   
 3. samito

  samito JF-Expert Member

  #3
  Aug 19, 2011
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 621
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  u ar ryt mkuu
   
 4. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #4
  Aug 19, 2011
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Ni kweli, kwa yahoo haiwezekani...lakini kwa gmail inawezekana! kuna option ya ku'switch into another account' ukiclick, inafunguka browser nyingine ambayo mtu mwingine mwenye gmail account anasign in bila tatizo!
   
 5. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #5
  Aug 19, 2011
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,811
  Likes Received: 7,148
  Trophy Points: 280
Loading...