Kupata chanels on free chanel decoder!

Degelingi

Member
Apr 14, 2011
42
0
Naomba msaada kwa mtu anaejua namna ya kupata chanel nzuri za muvi na mpira kwa kutumia decoda za free chanel. Decoda nayotumia ni mediacom. Kwa muda mrefu tulikuwa tunapata etv, muvi tv, aljazeera na chanel za msumbiji, lakini kwa sasa hatupati tena zimebaki chanel za dini na za hapa tz.
 
Settings hazikubadilishwa?e.g Orientation ya dish,number of LNBs etc.(normally LNB zaidi ya moja hutumika)
 
<br />
<br />
receiver unayo2mia bila shaka ni DVB-S1 mpeg2 ambayo kwa ss sio nzuri sana.Tafuta Hd receiver au angalau mpeg4 dvbs1-2 decoder.
 
ukiwa na ungo wa ft8 unaweza kupata channels za msumbiji kwa ku2mia receiver.
 
Muvi tv africa na aljazeera unaweza kuzipata set angle 68.5e then weka frequecy zake na symbolic rate.
 
Back
Top Bottom