BASHADA
JF-Expert Member
- Jul 13, 2011
- 513
- 148
Jamani mimi siyo mtaalam sana wa computer, tangu jana kwenye laptop yangu nimejikuta nikifungua website yoyote ile, haifit kwenye screen size. Maandishi yanasambaa sana nikitype email, au nikisoma mpaka inafikia ninascroll pembeni (left or right) ili kusoma au kuandika maandishi yote. Anayejua naomba anielekeze steps za kurudi kwenye hali ya kawaida