Mobile Phone Taxe

Mobile Phone Taxe

mazd

Senior Member
Joined
Apr 3, 2011
Posts
187
Reaction score
32
wana JF naomba kuuliza-eti simu ya mkononi inatolewa ushuru ikitoka nje-na huwa ni kiasi gani?--help please
 
simu ya au za mkononi?
Weka mfukoni....unless una maana ya simu za biashara.
 
Mkuu wanalipa kodi kama kawaida!

Kwenye importation pale airport au bandari kuna watu wa Custom . wanaoagiza simu wanatozwa VAT na kodi zingine nyingi tu.
Kwa wanao nunua rejareja kuna kodi unalipa pale airport kama ni moja au mbili unaweza ukasamehewa!!

sijui kama nimejibu swali lako
 
Back
Top Bottom