Nani mtaalamu wa keyboard ya music an vocal mi xing anisaidie | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nani mtaalamu wa keyboard ya music an vocal mi xing anisaidie

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by elmagnifico, Aug 19, 2011.

1. elmagnifico

elmagnifico JF-Expert Member

#1
Aug 19, 2011
Joined: Jul 7, 2011
Messages: 7,913
Likes Received: 7,454
Trophy Points: 280
Jamani mimi napenda sana mziki na nina ndoto za kuwa producer. Nimeanza nza tumia fl studio toka niko form3 mpaka saqsa niko chuo mwaka wa 3, lakini sijui kupga piano tan keyboard ile ya ukweli zaidi ya fl piano roll, pia sijui anything about mixing and vocaling jambo ambalo linafanya beat zangu ukizipeleka kwenye music system nyingine znakuwa kapuka.jamani kama kuna mtu anajua mambo hizo naomba msaada wake hata kama atataka malipo kidogo naweza toa lakini si ela nyingi maana mimi m,wenyewe choka mbaya kama watanzania walioo wengi

2. HT

HT JF-Expert Member

#2
Aug 19, 2011
Joined: Jul 29, 2011
Messages: 1,899
Likes Received: 3
Trophy Points: 0
sasa unapanga vipi keys na chords kama hujui piano? Unafahamu nadharia ya muziki?

3. elmagnifico

elmagnifico JF-Expert Member

#3
Aug 19, 2011
Joined: Jul 7, 2011
Messages: 7,913
Likes Received: 7,454
Trophy Points: 280
Napanga hvyo hvyo kwa kuztafuta kuptia keybod ya comp bt nataka jua niwe poa. Ww wajua pga piano

4. Who Cares?

Who Cares? JF-Expert Member

#4
Aug 19, 2011
Joined: Jul 11, 2008
Messages: 3,465
Likes Received: 1,950
Trophy Points: 280
dogo mie sijui kiivyo ila utundu tuu niliweza kutengeneza beats na kuingiza vocal na kumix na kutoa nyimbo ila kwa quality mbovu ya recording na laptop mic nikapuuzia...ila kama hujui kuingiza vocal na mixing poa takuelekeza...ohhh nim esahau sikutumia FL nilitumia HipHop Dj software kipindi hicho...ongeza utundu utafanikiwa....ngoja nikifungua home studio nitakustua uje tupeane maujuzi..ninavyo vifaa except sijanunua Mac computer.

5. Who Cares?

Who Cares? JF-Expert Member

#5
Aug 19, 2011
Joined: Jul 11, 2008
Messages: 3,465
Likes Received: 1,950
Trophy Points: 280
nilisoma kwenye gazeti Producer Duke wa M-LAB anafundisha music...kama vipi mtafute then gonga school....navyoamini mie hasa hizi nyimbo za hiphop huhitaji shule kiviile unachohitaji ni maujanja ya kusample beat na CREATIVITY ya kuua mtu...kwan ww unadhani dre aligonga school ya music?...si alipiga u-dj then akaanza kukandamiza mi-beat ya kua-watu...komaa dogooo

6. elmagnifico

elmagnifico JF-Expert Member

#6
Aug 19, 2011
Joined: Jul 7, 2011
Messages: 7,913
Likes Received: 7,454
Trophy Points: 280
Kwan man mpaka utumie comp ya mac. Daah duke c atakuwa anatoza mshko mlefu sana

7. e

erickmalz Senior Member

#7
Aug 19, 2011
Joined: May 27, 2011
Messages: 151
Likes Received: 4
Trophy Points: 0
i was plyng kybod toka 2004 hadi 2008,then nikaanza guitar. Haiitaji mtu wa kukufundisha,chamuhimu kuwa na keybod yako then take online lessons,ukitaka ntakupa web itayokupa mwongozo mzur. Nunua keybod kwanza b4 anything.

8. elmagnifico

elmagnifico JF-Expert Member

#8
Aug 19, 2011
Joined: Jul 7, 2011
Messages: 7,913
Likes Received: 7,454
Trophy Points: 280
Nipe web man keybod ipo

9. e

erickmalz Senior Member

#9
Aug 19, 2011
Joined: May 27, 2011
Messages: 151
Likes Received: 4
Trophy Points: 0
piano.about.com/od/lessons/Lessons.htm

10. EBENEZA MT

EBENEZA MT JF-Expert Member

#10
Aug 19, 2011
Joined: Jul 4, 2011
Messages: 264
Likes Received: 3
Trophy Points: 0

Mi napiga gitaa kinanda drums lakini si saana. so m2 wangu nahitaji web ambayo nitapata mishiko (chord) mbali ¤2.

11. e

erickmalz Senior Member

#11
Aug 19, 2011
Joined: May 27, 2011
Messages: 151
Likes Received: 4
Trophy Points: 0
ushauri:nena google.. Search free bigginer keyboard(piano) lessons

12. HT

HT JF-Expert Member

#12
Aug 19, 2011
Joined: Jul 29, 2011
Messages: 1,899
Likes Received: 3
Trophy Points: 0
google 'chord progression'

13. HT

HT JF-Expert Member

#13
Aug 19, 2011
Joined: Jul 29, 2011
Messages: 1,899
Likes Received: 3
Trophy Points: 0
Not maverick lakini simple music napiga na nina concept ila piano ni mazoezi na hicho ndicho nina miss

14. e

erickmalz Senior Member

#14
Aug 19, 2011
Joined: May 27, 2011
Messages: 151
Likes Received: 4
Trophy Points: 0

Chord za guitar au keybod? Unaweza pata evrthn u need f u wil make google ur good frnd. www.guitar.about.com/library/blchordlibrary.htm

15. elmagnifico

elmagnifico JF-Expert Member

#15
Aug 20, 2011
Joined: Jul 7, 2011
Messages: 7,913
Likes Received: 7,454
Trophy Points: 280
Dah tnx guys jana nime google nimepata web flan yani nimeanza jifunza na nahc naelewa sasa hope after a month ntaanza kuwa noma

16. e

erickmalz Senior Member

#16
Aug 20, 2011
Joined: May 27, 2011
Messages: 151
Likes Received: 4
Trophy Points: 0

Pia kuna youtube videos,we search learning keyboard utaona. Menmejifunza guitar and keyboad mwenyewe kwa mtindo huo.

17. Eshacky

Eshacky JF-Expert Member

#17
Aug 20, 2011
Joined: Apr 26, 2011
Messages: 966
Likes Received: 33
Trophy Points: 45

wamesema n bure, mtafute FB.

Loading...