Lepapalongo
Member
- Jan 28, 2009
- 92
- 11
Natafuta watumiaji wa smartphone hasa nokia n,e, and x-series hapa jukwaani tubadilishane mawili matatu.I invite all!

tupoa wengi tu.Mi natumia s60v5, nokia n97.Unahitaji nini?.
Natafuta watumiaji wa smartphone hasa nokia n,e, and x-series hapa jukwaani tubadilishane mawili matatu.I invite all!
unatumia opera mini au opera mobile?
opera mobile is the bst though inakula sana ram
Opera Mobile
mbona rahisi tu unaenda kwenye Attachemt na ku attach kama unavyo fanya kwa pc. au tatizo ni wapi hasa maana uploder ni ya JF na si ya Opera..kwani kuupload kwa PC unaweza kama unaweza ni same thing...any way au umefungua JF kama mobile page au unafungua Full page? maana opera mobile ina fungua full JF na si mobile version hadi uselect manually
kuna hii application ya Psiloc Total Irremote ukiInstal kwenye simu yako yenye Infrared Port utaweza kuControl TV, DVD, VCR, Radio, Decoder, na Devices nyingi zinazotumia remote kwa kupitia simu yako.. hii ni kwaajili ya s60v3 zenye Infrared Port..Natafuta watumiaji wa smartphone hasa nokia n,e, and x-series hapa jukwaani tubadilishane mawili matatu.I invite all!