Kwa mfumo huu wa digital sebule zetu c zitakuwa kama studio za kurushia matangazo!!

white wizard

JF-Expert Member
May 18, 2011
8,306
13,266
kutokana na mfumo wa kurusha matangazo ya tv kubadilika kutoka analogi kuwa digitari kuanzia mwakani,kuna kitu kinanichanganya juu ya haya makampuni ya kutoa huduma hiyo ambayo yapo manne mfano,startimes na ting,leo nimekwenda ktk viwanja vya 77 dsm, nikapitia kupata maelekezo.

sasa hawa Ting wana baadhi tu ya chaneli za hapa bongo nyingine zipo kwenye king'amuzi cha startimes, na sio zote!utakuta chaneli nyingine tena(local)zipo kwenye king'amuzi kingine tena!sasa kama unataka kupata chaneli zote za hapa bongo c itakubidi uwe na ving'amuzi vingi?

Na kila kimoja kina malipo yake ya mwezi!tv zinakuja kuwa anasa kama enzi za mwl.
 
wasipolitizama hili kwa kina watapoteza malengo nadhani tcra inabidi waandae kanuni zitakazowabana hawa kama vile kuwepo na kanuni kuwa wote waweze kuonyesha local stations na ushindani uwepo kwenye tv za nje au kama vile tbc2 au atn2 na kuendelea
 
Hata mimi nafikiri hili ndo linaweza kuwa suluhisho. Lakini kama tuwajuavyo watanzania ( hapa ni wale wenye mamlaka, TCRA, nk) huwa wanasubbiri mpaka watu wateseke kwanza kitu ambacho si kizuri kwa kweli.
 
local channels zote zitakuwepo kwenye ving'amuzi vyote, CONFIRMED!!!!

TOPIC CLOSED.
 
Kuna jamaa yangu ana ving'amuzi kibao. ana Startimes, Easy TV, DSTV na sasa anaulizia TING, hayo ma decoder yote unayaangalia saa ngapi
 
Kuna jamaa yangu ana ving'amuzi kibao. ana Startimes, Easy TV, DSTV na sasa anaulizia TING, hayo ma decoder yote unayaangalia saa ngapi

Kuna mpya imetangazwa tena hivi karibuni inaitwa ZUKU TV. Bado ya muunganiko wa ITV na STAR TV.
 
mimi ikija zuku ndo nanunua ile ya wakenya wabongo wachovu 2
 
Kumbe bora nibaki na king'amuzi changu cha asili kutoka
sumbawanga maana huwa natazama hata matokeo ya
urais siku tano kabla
 
kutokana na mfumo wa kurusha matangazo ya tv kubadilika kutoka analogi kuwa digitari kuanzia mwakani,kuna kitu kinanichanganya juu ya haya makampuni ya kutoa huduma hiyo ambayo yapo manne mfano,startimes na ting,leo nimekwenda ktk viwanja vya 77 dsm, nikapitia kupata maelekezo.

sasa hawa Ting wana baadhi tu ya chaneli za hapa bongo nyingine zipo kwenye king'amuzi cha startimes, na sio zote!utakuta chaneli nyingine tena(local)zipo kwenye king'amuzi kingine tena!sasa kama unataka kupata chaneli zote za hapa bongo c itakubidi uwe na ving'amuzi vingi?

Na kila kimoja kina malipo yake ya mwezi!tv zinakuja kuwa anasa kama enzi za mwl.

mkuu itakuwa zaidi ya studio ya kurushia matangazo.Hebu check hiii.
Star times,easy tv,ting,zuku,dstv, bado itv +capital+chanel 5,star tv nao watakuja na cha kwao.

Hapo hapo bado hujaweka deck za dvd,vcd,kwa wale wapenz wa game play station bila kukosa,bado hauja weka................
.......................
..................
Ongezea mengine hapo halafu nipe sasa jina la hiyo sebure ni zaidi ya studio
 
jf bana,full burdani! Teh,teh,teh! Nimeipenda hii ya sebule kuwa sehemu ya kurushia matangazo ya tv stations,ndio matokeo ya kukurupukia teknohama,wakuu! Kila mmoja mwenye uwezo analeta decoder lake,haya twende!
 
nimesoma source fulani kwamba hiyo zuku tv package ya african premium kwa bongo itakuwa dola 38 kama shs 62000,wakati uganda ni dola 12 tu,pamoja na hayo channels hazitofautiana na channels za startimes, sijui hii kampuni imetumia vigezo gani kupanga hizo bei,kwa maoni yangu ni afadhali uwe na dstv compact kuliko hiyo zuku,kuweni waangalifu msiingizwe mkenge.
 
Back
Top Bottom