My computer nikiiwasha inaishia tu kuandika welcome haifunguki zaidi ya hapo...msaada pls | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

My computer nikiiwasha inaishia tu kuandika welcome haifunguki zaidi ya hapo...msaada pls

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by mojoki, Dec 9, 2011.

 1. mojoki

  mojoki JF-Expert Member

  #1
  Dec 9, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 1,333
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  hii pc nikiiwasha yaishia tu kuandika welcome haifunguki zaidi ya hapo...na hiyo imetokea baada ya kuinstall antivirus kisha nika restart as per requirement, Msaada pls wale wataalamu wa kujitolea jamvini
   
 2. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #2
  Dec 9, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 3,522
  Likes Received: 1,005
  Trophy Points: 280
  Inavyoonyesha hiyo antivirus imekula baadhi ya files muhimu za window unachotakiwa kufanya ni ku- repair
  Kwa kutumia hiyo Window yako.
   
 3. t

  tabibu Member

  #3
  Dec 9, 2011
  Joined: Dec 7, 2011
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  kabla ya kuinstall hiyo antivirus kulikuwa na antivirus ktk hiyo computer na kama ilikuwepo uliitoa ilikuiweka mpya?kama huku fanya yawezekana ndiyo sababu.kwa mtazamo wangu weka window upya
   
 4. mojoki

  mojoki JF-Expert Member

  #4
  Dec 9, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 1,333
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  kazi kwel kwel so nita repair vip em nielekeze kidogo coz i cant press any button au hadi niwe na cd ya window
   
 5. mojoki

  mojoki JF-Expert Member

  #5
  Dec 9, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 1,333
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  hakukua na antivirus...imenivuruga kwel kwel hapa i cant press any button imeandika tu weclome
   
 6. A-town

  A-town JF-Expert Member

  #6
  Dec 9, 2011
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 498
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Tia cd ya window then zima manually ikianza kuwaka itakwambia press any key to boost from cd then fanya hivyo na uinstall au kurepair
   
 7. mojoki

  mojoki JF-Expert Member

  #7
  Dec 9, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 1,333
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  thx mkuu
   
 8. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #8
  Dec 9, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  process ya explorer exe. imekuwa corrupted. au imeliwa . Jajribu kugoogle namna ya kurekebisha ukishindwa sema tukisaidie kugoogle.

  Hiyo Proces niyo inawezesha mtu kuexplore kompyuta yako na sehemu mbali mbali za computer.

  Unaweza kuanzia hapa EXPLORER.EXE corrupted or infected [Solved] | Kioskea.net

  BTN
  Unatumia Antivirus gani na una OS gani?.
   
 9. mojoki

  mojoki JF-Expert Member

  #9
  Dec 9, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 1,333
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  mkuu thx very mcuh tatizo nimeshalitatua...ubarikiwe kamanda wa majeshi
   
 10. Thinker96

  Thinker96 JF-Expert Member

  #10
  Dec 10, 2011
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 294
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  ok,shikilia Ctrl+Alt+Del,na kama ikikubali sasa reboot kama kawaida na ikigoma fungua kwa processor yako afu toa simmos batteries lakin make sure ume unplug,kama ukirudisha afu ikiandika mengine nichek
   
Loading...