mkuu morar namaanisha hamasa au naweza sema naomba kujuzwa uhalisia na uzuri wa hizi ttcl modem ili kama ni poa niongeze spid ya kwenda kununua na kama sio niahilishe!
Kwa speed ni kweli inakua nzuri na kuna unlimited downloading. Kama unafanya downloading, ni bora uwe na modem 2, ya airtel kwa ajili ya blogging, news etc; halafu ya ttcl kwa ajili ya kudownload ama uploading kubwa. Ila hiyo charging system kama ya int cafe ndo inakera.
Note: uliposema moror ulimaanisha 'morali'
ni choice yako tu. unaweza ukajiunga na 'banjuka' inayochaji elfu kwa saa au ukachagua bundles za wiki na mwezi.
speed ni nzuri na haikatiki-katiki ovyo, ila coverage yake ni limited kwa mijini.
still ni bora mara mia kuliko zantel maana kuna baadhi ya vijiji ambako utapata network.
Airtel ni the best kwa gharama ila iko slow.
Voda haiaminiki sana ingawa kuna wakati huwa nzuri.
Tigo inafanya vizuri jijini Dar-es-salaam.
tuombe tupate mwekezaji mwingine bora wa broadband
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.