Jinsi ya kupata sauti kwenye pc pentium2

Jinsi ya kupata sauti kwenye pc pentium2

tizo1

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2011
Posts
861
Reaction score
159
Naombeni ms2ada jamani.Nimeweka OS aina ya xp kwenye PC YANGU ya pentium 2.driver zote za sauti zimekataa kufanya kazi.naombeni msaada.jina la PC linanipa shida limeandikwa kwa kichina
 
nadhani wataalam watakusaidia zaidi ukitaja ni aina gani ya PC .. nadhani drivers zinapatikana kwenye websites ya hayo makampuni .. mfano ukienda web ya Hp utakuta drivers ... Dell.. etcl ...
 
mkuu muda na airtime uliyopoteza kuuliza humu unge-google sound drivers for ur specific machine ukadownload na kuinstal..ungekwama hapo ungesaidiwa
 
Naombeni ms2ada jamani.Nimeweka OS aina ya xp kwenye PC YANGU ya pentium 2.driver zote za sauti zimekataa kufanya kazi.naombeni msaada.jina la PC linanipa shida limeandikwa kwa kichina

  • Kwenye desktop yako Right click wenye my computer chagua manage kwenye list ya optin zitakazouja
images



  • Then litakuja dirisha(window) inayofanana na hii hapa chini. Angali ina la harware za sound utakazoona kisha hizo ndizo utakazotaiwa kutafuta
 

Attachments

  • Device manager.JPG
    Device manager.JPG
    72.6 KB · Views: 76
Asanten wote.Najaribu kutumia michango yenu.Nitaleta ripot.......
 
Jamani jina la computer ni An Energy Star Ally.Nisaidieni kutafuta driver zake.
 
Mkuu, huna watoto ukawapatia wakafunga kamba wakatengeneza gari ya kuchezea???? Pentium 2!!!!!!!!!!
 
Mkuu, huna watoto ukawapatia wakafunga kamba wakatengeneza gari ya kuchezea???? Pentium 2!!!!!!!!!!

Acha utani.Naombeni msaada jamani.sina ujanja kabisaaa zaid ya JF.
 
Jamani msaada.Computer inasema no chip set.Nawezaje kutatua tatizo?
 
No audio chipset ina maana gani jamani? Msaada jamani.
 
Jamani msaada jamani.Mbona kimya?Nini maana ya no audio chipset?
 
kuna kitu kinaitwa driver detective...ni softeware inatotumika ku detect drivers za kompyuter yako na kuziupdate zile zinazohitajika kuwa updated...sasa nenda kwenye torrents website yoyote(naamini unaejua kudownload torrents) search for driver detective ambapo utapata na keys zake (bila kupata full version itashindwa kuupdate maana itakudai keys) ukishaipata hiyo install then connect kwenye net pc yako...kisha fungua hiyo software na uscan drivers zako yenyewe ita detect zoote zinazohitajika kuwa installed na kuzitafuta online kisha kuziinstall...njia ya pili ni ku download kiyu inaitwa driver pack (sina hakika sana kama itakubali kwa pc za zamani kama yako) ila unaweza kujaribu ku itafuta hiyo online (ingawa ni kubwa kig\dogo kama GB2 hivi) hii inakuja na drivers nyiingi mbalimbali kwa ajili ya pc nyiingi za ina tofauti (laptop and desktop)...so ukiipata hii inaweza kusaidia!!
 
Nashukuru.ILA BADO SIJAJUA NINI MAANA YA NO audio chipset
 
shida yangu ni kujua kama ni software au hardware kaka.Nisaidie tafadhali
Pc za zamani walikuwa wanaweka separate Sound Card, Display Card etc. Angalia ndani kwenye Main Board kama kuna PCI Card slot iliyowazi, kama ipo nunua Sound Card pachika hapo. Ukimaliza hilo njoo tukupe maelekezo zaidi
 
Back
Top Bottom