msaada wa symbian games na apps!

James St. Patrick

Senior Member
Jun 23, 2011
162
62
wadau naombeni msaada wa kupata free symbian games na apps mbalimbali kwa nokia 5320! Napenda sana games ila source ndo sizifaham hasa games za gameloft kama real football 2010... Nisaidieni jamani!
 
Back
Top Bottom