Ridhiwani FB account hacked....................!!!!!!!!!!!!!!!

Ridhiwani FB account hacked....................!!!!!!!!!!!!!!!

bakuza

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2010
Posts
492
Reaction score
104
Nimepitia ktk fb account yangu asubuhi hii nikakutana na post za CHADEMA zikitumwa kuopitia account ya Ridhiwan.Nadhani hackers wameshafanya kazi yao.
 
Eeee!!!! kwakeli nimeona duh watu wabaya wamemchafuaje??? ssijui akiona atasemaje Advocate mtandao ni balaaa na kwa sababu yupo buzy mpaka aje aone lol!!!!!!!!!!! mmmmmmmh!!!!!!
 
teheeeteeee Kabadili dini???? sio kang'amua ukweli wa naniliu teheteheteheeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!! ila kama ni mwenyewe sasa nadhani anataka kuanza mchakato wa kuchukua form yakugombea Urahisi akitoka babake sasa sijui ni kwa tiketi ya basi gani lol!!!!!!
 
Hata wa Mama Salma Kikwete...mana n ajabu kila siku anamponda JK na kuisifia harakati za kuipinga CCM....
 
Hao hackers nao hawana kazi
 
walishaweka bayana kuwa hizo si account zao
 
Back
Top Bottom