mpopoajiwetu
Member
- Dec 15, 2011
- 12
- 3
wana JF mwenye contact za fundi mzuri wa simu please help.
Nawe nae, simu bovu tupa tu. Unataka mpaka wajukuu waje kutumia?
kauliza fundi,hajasema ana simu bovuNawe nae, simu bovu tupa tu. Unataka mpaka wajukuu waje kutumia?
FF sio majibu ya kiungwana haya.
Inawezekana kainunua wiki iliyopita na inahitaji mtaalamu tu kuweka sawa.
Kama wewe upo njema kiasi hicho cha simu ikigoma kidogo unatupa kule ujue kuna wenzako hali ni tofauti kabisa.
Mkuu mleta mada jaribu kueleza una simu gani na nini hasa tatizo lake, wataalamu wapo wengi humu watajaribu kukushauri nini cha kufanya, kama inatengenezeka au la au kukuelekeza fundi wa tatizo lako
kauliza fundi,hajasema ana simu bovu
Simu yangu ni N95 yenye 8GB inatatizo la camera.