msaada jamani nokia x6 yangu inanifirisi!!

white wizard

JF-Expert Member
May 18, 2011
8,316
13,282
niliweka applicatioo ya theftaware(find me) kwenye simu yangu,na ikawa inafanya kazi vizuri cha ajabu kuanzia jana,hata bila kubadilisha simcard inatuma s ms ovyo tu,wakati ilitakiwa ifanye hivyo pindi ukiweka simcard nyingine!hivyo salio linakwisha tu!nimejaribu kui ondoa inaonekana imetoka lakini bado inatuma sms tena!!je nikienda kuiflash tatizo hili litakwisha?
 
Jaribu kuifanyia full factory defaulty then reset internet seting,, kuiflash cm ambayo haina tatizo linalo hitaji kufanyiiwa flashing some times inakuwa risk coz kunaweza kutokea software pack error's alafu ikawa ndo ishakusepa mkuu.kama ni nokia orignal nenda kwenye setting thn utaikuta factory defaulty phonecode huwa ni 12345 kama hukuzibadili then kama vp jaribu kuistall tena hiyo package thn unstall tena .
 
Piga namba hizi *#7370#,ukitakiwa kuweka code bonyeza 12345 kisha subiri simu ikishaboot you are done
 
Jaribu kuifanyia full factory defaulty then reset internet seting,, kuiflash cm ambayo haina tatizo linalo hitaji kufanyiiwa flashing some times inakuwa risk coz kunaweza kutokea software pack error's alafu ikawa ndo ishakusepa mkuu.kama ni nokia orignal nenda kwenye setting thn utaikuta factory defaulty phonecode huwa ni 12345 kama hukuzibadili then kama vp jaribu kuistall tena hiyo package thn unstall tena .
nimefanikiwa ndugu yangu thanx,umeniokoa sana!jf ni kisima cha wataalam tena bure!!!
 
Back
Top Bottom