sony ericsson imenishinda

teac kapex

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
470
136
wataalam naomba msaada wa haraka nina sony ericsson k800i ambayo kabla ya kuiflsh nilikuwa napata internet vizuri lkn baada ya hapo nikijaribu ku-google kitu chochote inasearch kwa muda mrefu kisha inaniandikia device management error niliwapigia voda setting ikaja na nikaisevu lkn hakuna msaada pls help
 
Mkuu wakati unasubiri wataalamu watakusaidia laki kwasasa jaribu ku google "how to ......................
Nimejaribu kwenye simu yangu nikaona solution zinaweza kukusaidia
 
Back
Top Bottom