PLz PLZ PLZ PLZ NISAIDIENI MWENZENU KATIKA HLI.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

PLz PLZ PLZ PLZ NISAIDIENI MWENZENU KATIKA HLI..

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by LOOOK, Dec 17, 2011.

 1. LOOOK

  LOOOK JF-Expert Member

  #1
  Dec 17, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 3,392
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Nimenunua nikia c3 lakini tatizo nashindwa kupata software ya kusoma pdf nimehangaika net nikapa ez lakini bado ikawa haisomi pdf nkaja nkapata pdf.R nayo ndo kwanza inataka keys plz naomba mwenye ujuzi jinsi ya kuweka pdf kwenye nokia c3 na ikafanya kazi vizuri anisaidie mwenzenu ila naomba package iwe j2me/jar format kwani sis na sisx hazikubali kwenye java apps.
   
 2. Isaac Chikoma

  Isaac Chikoma JF-Expert Member

  #2
  Dec 18, 2011
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 490
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  nakushauri fanya mpango upate smartphone nokia nyingine, yenye uwezo mzuri hiyo itakusumbua,jamaa yangu mmoja ana simu kama yako.nilimuwekea appliation zote ninazofahamu, hazikuweza kufanya kazi.
   
 3. i

  iMind JF-Expert Member

  #3
  Dec 18, 2011
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 1,908
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180
  Sijawahi kutumia nokia toka nizaliwe, lakini nasikia wana kitu inaitwa ovi store. May be jaribu kuperuzi kwenye hiyo ovi store. siku hizi natumia android powered smart phone. ni rahisi kutumia na zina application za bure kibao
   
Loading...