Msaada blackberry!!!!

Msaada blackberry!!!!

Isaac Chikoma

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2011
Posts
475
Reaction score
101
nashindwa kuunganisha na internet inaniambia,your browser currently have no configuration.
 
Mkuu natumia simu siwezi kukupa link,
Hata hivyo bb ni tofauti na simu zingine linapokuja swala la internet, unalazimika kwenda kwa provider wako awe tigo au voda,airtel nk, kisha atakuunganisha na huduma ya internet inaitwa data plan au bb internet service, hapo kuna vifurushi vya wiki,mwezi na mwaka.
Njia ya pili ni kutumia internet bila data plan, hii itakufanya kubrowse web mbali mbali lakini hutaweza kutumia application zingine za bb.

Tembelea website za mitandao yao
Pia hapa jamiiforums search "Jinsi ya kutumia BlackBerry
ku acces internet bila malipo ya
mwezi/wiki"
 
asante mkuu ngoja nijaribu.
 
vodacom,asante nimefanikiwa kupata ufumbuzi kwa sasa natumia internet kama simu ya kawaida tu.kuna mtu alipost maelekezo.
 
Isaac naomba hiyo link ya maelekezo ulipoipata

Natumia simu siwezi kukupa link.
Nenda jamiiforums kisa search "Jinsi ya
kutumia BlackBerry
ku acces internet bila malipo ya
mwezi/wiki"
 
Natumia simu siwezi kukupa link.
Nenda jamiiforums kisa search "Jinsi ya
kutumia BlackBerry
ku acces internet bila malipo ya
mwezi/wiki"

Search jamiiforums https://www.jamiiforums.com/search.php
 
Isaac naomba hiyo link ya maelekezo ulipoipata

seach tu kwenye google kwa kiswahili andika, namna ya kutumia blackberry internet bila data plan.au angalia post imeandikwa namna ya kuunganisha blackberry internet. Huku jf.
 
Back
Top Bottom